Asante sana mkuu, na hiyo kwenye picha ya pili inaitwaje?
Parsley ndiyo nini na wapi inapatikana?
Ila haya masoko yetu ya tz ukiwambia nipatie giligilan unapewa hyo ya kwanza kwa pichaParseley ni tofauti na giligilani
Ni kweli... na vile zimefanana sanaParseley ni tofauti na giligilani
Kuna mitaro ya aina nyingi. Eleza ni aina ipi ya mtaro unamaanisha!Sisi kwetu hiyo watercress tunaiita NYALULENGA. Inastawi sana kwenye mitaro.
Ndio hujakosea zinaitwa kotmiri, kama jamaa anazihitaji bado, aseme anataka kowango gani?Niliwahi msikia shangaz angu akiziita "kotmiri" sijui spelling najua inavotamkwa. Mbegu zake nizaviduara vidogo saiz ya pilipilimanga maranyingi vinatumika kma viungo kwenye pilau
Sent using Jamii Forums mobile app
Magugu maji, nenda masoko ya kwnda ya ziwa yanapatikana kwa wingi ni mboga tamu sana scientifically ni source ya vitamin ZAsante sana mkuu, na hiyo kwenye picha ya pili inaitwaje?