Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 522
Huyo aliyekuelekeza si ndiye angekuelekeza alikitoa ndiko ungeenda? Huko utapata kila kitu kwa wauzaji.Wakuu habari za weekend,
Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya:
1. Watercress
2. Parsley
Hiyo namba moja inafanana sana na figili (celery)Wakuu habari za weekend,
Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya:
1. Watercress
2. Parsley
Coriander na Parsley kwa lugha ya Kiswahili ni giligilani.Nimekuwa nikitumia hivi viungo vinne kwa miaka mingi lkn sijui vinaitwaje kwa kiswahili -Coriander, Parsley, celery, leeks
Sent from my iPhone using JamiiForums