Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Zipo stesheni nyingi za kiislamu zikiwemo za serikali ambazo kutwa nzima ni korani, fungua hizo.Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni....
Acha watu waenjoy na dini zao..Uchawi huoNyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini
Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo muumini yoyote nyumbani kwake kufungulia au kutazamana hizo media house zenye udini na chuki kwa ajili dini nyingine. Sijazitaja hizo media house ila zinajijua kuanzia leo hatutazitaxams
Mkristo na unaumia wakipiga kwaya?mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo
ni vizuri na uungwana zaidi,Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini
Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo muumini yoyote nyumbani kwake kufungulia au kutazamana hizo media house zenye udini na chuki kwa ajili dini nyingine. Sijazitaja hizo media house ila zinajijua kuanzia leo hatutazitaxams
Vipi kuhusu radio IMAAN, radio NUUR, radio IHSAAN, radio QIBLATEN, radio KHERI, radio Al-Noor, nk... je, hizi huwa zinaweka nyimbo za Kwaya za Kikristo kwenye vipindi vyao ili kufurahisha waumini wa dini tofauti?Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo...