Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

Hawa sasa ndio wa kuitwa ikulu na bungeni sio unawaita kina dotto magari na the like..!
Tatizo hawa hawasifii hata visivyosifika na wakazi wa ikulu wanapenda sifa.
Akitoa ushuzi anataka apigiwe makofi na kuambiwa kajamba faluda.
 
Kabla ya kununua ndege ni lazima uwe na cheti cha urubani, cheti cha chini kabisa ni Private Pilot License (PPL), gharama ya kozi ni milioni 80

ukishapata cheti cha urubani fika ofisini kwao ununue ndege yako

193 Rose Garden Road, 14112 MIKOCHENI AREA, P.O. Box 32945, Dar es Salaam, Tanzania
Labda kwetu hapa gharama hazishikiki. Wenzetu kupata leseni ya chini wastani ni 15,000 Usd.
 
I wish nifanye test flight nione stability yake huko angani so far so good hata landing gears zake zimekaa mkao... nipo keen kujua Navaids zake zinaperfom vipi..
 
Back
Top Bottom