Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba
Hizi ndio album bora 25 za miaka 23

1.Tid-sauti ya dhahabu-2001

2.Alikiba-cinderella-2007

3. Lady jay dee - Binti 2003


4. Bushoke -Barua 2004

5.Mb dogg- Si uliniambia 2006

6.Marlaw -Bembeleza 2007

7.Diamond- Kamwambie 2010

8. prince Dully sykes -historia ya kweli 2001


9. Mr paul -Ndani ya love 2003

10. Z Anto - Binti kiziwi 2007

11. Saida Karoli - chambua kama karanga 2000

12. Pauline zongo -safari 2003

13.Ray C Mapenzi yangu 2002

14.Daz baba -Elimu dunia 2005

15.ferooz - safari - 2004

16.Q chief - Mwana mnyonge 2003

17. 20 percent -Money Money 2005

18.Stara thomas -Nini sina 2003

19.Matonya - Siamini 2006

20.Mandojo & Domokaya - Taswira 2003

21. Mr nice - rafiki 2004

22.Mad-ice baby gal 2003


23. Alikiba - Ali k for real 2010

24.Jay dee - Machozi 2000

25.Hard mad -sina muda 2004

Hakika hizi ni album bora upande wa muziki toka uanze mpaka sasa
Nyimbo zao bado zinaishi
Ukisikiliza huwezi kuforward mbele
Na muziki wao mpaka sasa unaendelea kuishi.
Mods naomba mrekebishe kichwa cha habari muandike 25
 
Mr Nice na Rafiki hatuweki? Na Juma Kakole?

Kama za Hihop zinakuja hapo nakubaliana na wewe.

Naomba kwenye Hip-hop usisahau Machozi Jasho na Damu, AKA Mimi, Ulimwengu ndio Mama.
 
Mr Nice na Rafiki hatuweki? Na Juma Kakole?

Kama za Hihop zinakuja hapo nakubaliana na wewe.

Naomba kwenye Hip-hop usisahau Machozi Jasho na Damu, AKA Mimi, Ulimwengu ndio Mama.
Na toleo lijalo
 
Mad ice uyu siyo mbongo ni mtu wa Uganda brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…