Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

Mwana FA - Mwanafalsafani.
Jay Mo - Ulimwengu ndo Mama
 
List yako umejitahidi, ila jipe muda ukasikilize MAMA ya Banana Zorro. Kama haitakuwa kwenye top5 yako uwahi Muhimbili ukapimwe mkojo
 
Una miaka mingapi?

Kawaulize wakubwa zako albamu ya ugali na ubinadamu kazi zote za Juma Nature wakuambie balaa lake.
 
Funga Kazi ya Hard Blasters Crew ndio album mama iliyobadilisha mziki wa Tz mpaka leo hii
 
Umezitendea Haki Mwamba....list yako ingekuwa batili kama usingeweka

1. Z Anto
2. Nenda kamwambie
3. Money Money
4. Starehe ya Ferouz
 
Daaaah, kweli mwanangu Mr. Blue anagundu. Yaani hata hapa hajatajwa? Si tulicheza wote blue blue, mapozi, kiss kiss etc..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…