saci
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 239
- 389
Hizi ndizo katuni ambazo unaweza kurudia kuangalia na hazichoshi.
1.vivo 2021
2. Strange magic 2015
3. Ivan the incredible 2012
4. Ice age 3 dawn of dinosaur 2009
Mwaka 2016 ndio mwaka uliotoa katuni kali kuliko miaka yote.
Huwa najiuliza ni lini Tanzania tutafikia uwezo wa kutoa animated film ya maana?