Rayz
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 339
- 261
Hazina maudhu ambayo mzaz hawez angalia na watotoMi katuni huwa sifuti nazirudia hata mara 100 hazichoshiView attachment 2010470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina maudhu ambayo mzaz hawez angalia na watotoMi katuni huwa sifuti nazirudia hata mara 100 hazichoshiView attachment 2010470
Hivi hizi katuni si za watoto? Au kuna watu wazima na midevu huwa wanaangalia?
Zipo ambazo mpaka uelewe kisa ni mzikiAchana na kushahabiana katika utengenezaji ila kuna utofauti wa cartoon na animation movie kinadharia..
Ndo maana hata uki search cartoon Google utapata clips za kina sponge bob na tom and jerry ila animation ni tofauti
Utofauti uko kwenye maudhui sio utengenezwaji wake
So cartoon ni tofaut na animation movie kinadharia.. animation movie zinapigana vibega na movie halis za binadam kwenye mauzo
Mwisho chukulia animation movie na cartoon ni kama enzi zile za gazeti la Sani huku una kina madenge. A baba ubaya ambazo tuite ni cartoon upande wa pili una hadith za kina mzee Ole ambazo ni hadithi za picha..
Utaona madenge na na kina mzee ole wote wamechorwa ila maudhui ndo yanatofautisha kundi lipi linalengwa
So animation ni kama usome riwaya kwa mtindo wa picha
Kama nyani kwenye muvi nyingi ni mlinzi au jambaziAnimations ni nzuri sana wanajua kutafuta characters wanaofit kwenye nafasi zao.
Kwa mfano kwenye secret life of pets kuna ka sungura keupe kama sikosei walikapa jina la Mike, ni kadogo ila kanajiamini halafu kana mikwara mizito. Pia nilikaona tena kwenye Sing kakiwa na tabia zake zilezile.
Kuna hii inaitwa arcane sijui kama ni anime iko tofauti kidogo ila ni nzuri balaaKweli kabisa. Tena sishauri kabisa waroto kuangalia anime zenye +12 maana izo ni hatari kwa maadili.
Yeah tazama izo mm ninazo apa 1tb ya anime nimecheki zote mpaka zingine sizikumbuki majina.
Kama hii One Piece ina 1000+ episodes ila ni kali kinoma.
View attachment 2539007
Migration,Mummies ya mwaka huu