Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

Watu wengi wanashinfwa kutofautisha concepts za watoto na watu wazima. Mfano, animations nyingi zinalenga in between, kumaanisha zinatoa burudani kwa ajili ya familia nzima.

ZA watoto ni kama Dora, etc

Za wote ni kama Avatar the last airbender, Rango etc

Za watu wazima ni kama The incredibles(hii hapa ingawa ina story ya in-between ila animation yake ni ya +15), etc
Screenshot_20230306-095844_Samsung Internet.jpg

PS: Kuna cartoon, kuna animation alafu kuna ANIME.

ANIME ni animations za kijapan na huwaga zina concepts zinazobeba maudhui tofauti tofauti.

Zipo anime ambazo ni +18 kabisa na watoto hawaruhusiwi kutizama kabisa nia zipo zenye mkono wa kufa mtu.
Screenshot_20230306-095502_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230306-095536_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230306-095717_Samsung Internet.jpg

Mimi binafsi napendelea zaidi Anime.
 
Watu wengi wanashinfwa kutofautisha concepts za watoto na watu wazima. Mfano, animations nyingi zinalenga in between, kumaanisha zinatoa burudani kwa ajili ya familia nzima.

ZA watoto ni kama Dora, etc

Za wote ni kama Avatar the last airbender, Rango etc

Za watu wazima ni kama The incredibles(hii hapa ingawa ina story ya in-between ila animation yake ni ya +15), etc
View attachment 2538994
PS: Kuna cartoon, kuna animation alafu kuna ANIME.

ANIME ni animations za kijapan na huwaga zina concepts zinazobeba maudhui tofauti tofauti.

Zipo anime ambazo ni +18 kabisa na watoto hawaruhusiwi kutizama kabisa nia zipo zenye mkono wa kufa mtu.
View attachment 2538995View attachment 2538996View attachment 2538997
Mimi binafsi napendelea zaidi Anime.
Kuna rafiki yangu aliniwekea anime za kutosha kwenye external, ngoja nitaanza kuzifuatilia,

Pia uko sawa, zipo animated movies mtoto akiangalia hawezi kuelewa kisa, labda aburudike na nyimbo.
 
Kweli kabisa. Tena sishauri kabisa waroto kuangalia anime zenye +12 maana izo ni hatari kwa maadili.

Yeah tazama izo mm ninazo apa 1tb ya anime nimecheki zote mpaka zingine sizikumbuki majina.

Kama hii One Piece ina 1000+ episodes ila ni kali kinoma.

Screenshot_20230306-102017_Samsung Internet.jpg
 
Kuna 'Finding Nemo' nayo ni kali kinoma, ya pili yake inaitwa 'Finding Dorry'
 
Back
Top Bottom