Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Juzi niliangalia animation moja inaitwa the breadwinner.
Yaani kuimaliza tu hapo hapo nimeangalia tena. Netflix ipo
Yaani kuimaliza tu hapo hapo nimeangalia tena. Netflix ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeicheki juzi..iko poa sana..wachina wanakuja juu sana..kwenye ubora na stori nzuri wa hizi animation.Turning red imetoka itafute uenjoy piaView attachment 2218332
Sana..imekaa hovyo sana.Disney hapa wamezingua kabisa, wameiharibu ice age
View attachment 2225926
Naona hajacheki luca.Wee Tema mate chini. Hivi unawajua Pixar vizuri? Hebu fuatilia kazi zao kuanzia 2017-2022.
Pixar ni studio ipo chini ya Disney, story zao zote ni za DisneyWee Tema mate chini. Hivi unawajua Pixar vizuri? Hebu fuatilia kazi zao kuanzia 2017-2022.
mmhhh! hii naona inasifiwa sanaHakuna animation iliyowahi kutengenezwa Na itakayowahi kutengenezwa ikaifikia Rango
Pixar ni studio ipo chini ya Disney, story zao zote ni za Disney
turning red si ya disney?Nimeicheki juzi..iko poa sana..wachina wanakuja juu sana..kwenye ubora na stori nzuri wa hizi animation.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizi katuni si za watoto? Au kuna watu wazima na midevu huwa wanaangalia?