Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah! umetisha. Ebu fungua folder nizichungulie mkuukuna moja hiyo inaitwa BAD CAT
Hiyo ndani ya dakika 10 za mwanzo tu wazazi wakaondoka kwa hasira na misonyo juu na watoto zao katika JUMBA LA SINEMA ile siku ya kwanza kuoneshwaa litka 2016
ila ni kali balaa itafute uenjoy
nadhani humu JF mm ndio mkali wa ANIMATION sidhaini km kuna ANIMATION yoyote maarufu mm sijaiona
nina km 500gb ANIMATION tu pekee
kusema ukweri mm nimeanza kuangalia ANIMATION tangu kwenye mikanda ya TOFARI Bi mkubwa Sijui aliipata wapi mkanda wa SNOWWHITE na PETER PAN hizo ndizo ANIMATION zangu za kwanza kabisa kuangalia mwanzoni miaka ya 2000
enzi hizo Catoon networn CTN kila siku jioni aaah bila kusahau Watoto show ITVView attachment 2047208
yap! mtoto hawezi elewa katuni kama zootopia.nilikuwa naangalia The Flintstones utotoni lkama katuni tu lkn kiuhalisia hakuna mtoto anaweza elewa hata kama anajua lugha, madhui yaliyomo ndani ya ile katuni ni ya kuangalia mtu mzima ambae tena ana familia.
Ila nyingine nahisi nimechanganya majina Mkuu ila ziko poa, Ongezea hapo Epic, Up, Wizard Tale of arcadia na Ed Edd Eddyhizi sijaziona itabidi nizitafute.
Mtofautishe cartoon na animation
Mkuuu upo vizuri sana hizi zote ni noma an1. Despicable me 1,2,3
2. Hotel transylvania 1,2,3
3. Ice age 1, 2, 3, 4 & 5
4. Sing
5. Coco
6. Tedy the lost explorer 1& 2
7. Secret life of pets 1&2
8. Rango
9. Luca
10. Madagascar
11. Zootopia
12. Catshit one
13. Pusy in boots
14. The croods 1&2
15. Moana
16. Captain under pants
17. Kung-fu panda
18. Vivo
19. Scooby-Doo 2020
20. Megaminds
Bonus
- angry bird
-Rio
-lion king
-how to train your dragon
-shyrek
Tayari imetokaishatoka? maana ilikua iachiwe tar 22 dec
hahaha sid ametishaView attachment 2049174View attachment 2049175View attachment 2049176View attachment 2049177View attachment 2049178View attachment 2049179View attachment 2049180View attachment 2049181View attachment 2049182
Kwenye kila animation lazima kuwe na mwehu mmoja au wawili
mkuu umecheki mpaka scooby doo?1. Despicable me 1,2,3
2. Hotel transylvania 1,2,3
3. Ice age 1, 2, 3, 4 & 5
4. Sing
5. Coco
6. Tedy the lost explorer 1& 2
7. Secret life of pets 1&2
8. Rango
9. Luca
10. Madagascar
11. Zootopia
12. Catshit one
13. Pusy in boots
14. The croods 1&2
15. Moana
16. Captain under pants
17. Kung-fu panda
18. Vivo
19. Scooby-Doo 2020
20. Megaminds
Bonus
- angry bird
-Rio
-lion king
-how to train your dragon
-shyrek