kuna moja hiyo inaitwa BAD CAT
Hiyo ndani ya dakika 10 za mwanzo tu wazazi wakaondoka kwa hasira na misonyo juu na watoto zao katika JUMBA LA SINEMA ile siku ya kwanza kuoneshwaa litka 2016
ila ni kali balaa itafute uenjoy
nadhani humu JF mm ndio mkali wa ANIMATION sidhaini km kuna ANIMATION yoyote maarufu mm sijaiona
nina km 500gb ANIMATION tu pekee
kusema ukweri mm nimeanza kuangalia ANIMATION tangu kwenye mikanda ya TOFARI Bi mkubwa Sijui aliipata wapi mkanda wa SNOWWHITE na PETER PAN hizo ndizo ANIMATION zangu za kwanza kabisa kuangalia mwanzoni miaka ya 2000
enzi hizo Catoon networn CTN kila siku jioni aaah bila kusahau Watoto show ITV
View attachment 2047208