Unaipenda sana hii animation kila sehemu hua unaitaja. 😄😄 Though ni nzuri piaRango ?
Wewe unaweza kushindana nami kwenye animation.. nadhani zangu zinafika 100+Mi katuni huwa sifuti nazirudia hata mara 100 hazichoshiView attachment 2010470
Animation nyingi mtoto kuelewa ni ngumu nyingine ni zaid ya movie yaan.Hivi hizi katuni si za watoto? Au kuna watu wazima na midevu huwa wanaangalia?
Acha uhewa wewe, ukiangalia zingine mbona unatulia na ni uongo?Hivi hizi katuni si za watoto? Au kuna watu wazima na midevu huwa wanaangalia?