Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

Chai
 
Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona kama zote jau biashara hizo zinahitaji roho ngum
 
Kumbuka kupata mrejesho kwa wateja tokana na bidhaa, (producrs) unazotengenea ama huduma unazotoa, (services), kwakufanya hivyo wataje hawatakauka kwenye biashara yako, (feedback), pia ni muhimu kuzijua tabia za mjasiriamali, (traits), kama huna hata moja huwezi kufanya biashara yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…