Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano hiyo ya shule ya english medium, atakopwa ada hadi ashangae .wazazi wanataka watoto wao wafundishwe na walimu bora halafu ada kulipa ni kipengele.Umejitahidi ila kuna biashara umeziweka hapo kutoboa kwake ni ngumu sana hadi uwe na ubunifu wa hali ya juu.
Biashara ya shule ni pasua kichwa. Na ubaya TRA siku hizi wanawassumbua sana.Mfano hiyobya shule ya english nedium, atakopwa ada had ashangae .wazazi wanataka watoto wao wafundishwe na walimu bora halafu ada kulipa ni kioengele.
Mwambie ww atakusikiatatizo motivators wengi hawafanyi biashara husika practically. Wanasema tu.
Anyways, over 60% ya biashara ulizotaja hapo nimewahi zijaribu na nimejipata kwa kitu tofauti kabisa. Kwa ground mambo mi tofauti sana
mkuu habari,Biashara ya shule ni pasua kichwa. Na ubaya TRA siku hizi wanawassumbua sana.
Wabongo!! nisikilizeni....!!Hakikisha kabla ya kuanzisha biashara yoyote, unafanya utafiti wa kina kuhusu soko lako, wateja wako walengwa, ushindani, na uwezo wako wa kifedha na rasilimali. Pia, unapaswa kufuata sheria na kanuni za biashara zinazohusika katika eneo lako.
- Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja.
- Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na vifaa vingine kama mabati, nondo, misumari, cement, na vifaa vyote vinavyotumiwa katika miradi ya ujenzi.
- Biashara ya pembejeo za kilimo: Hii ni biashara inayohusika na kuuza pembejeo za kilimo kama vile madawa, mbolea, na mbegu. Unaweza kutoa huduma kwa wakulima kwa kuwauzia pembejeo hizo ili kusaidia kuongeza uzalishaji wao.
- Kiwanda cha kuzalisha unga/mafuta ya kula/mchele: Biashara hii inajihusisha na uzalishaji wa unga, mafuta ya kula au mchele. Unaweza kuanzisha kiwanda kidogo cha kusaga unga au kutengeneza mafuta ya kula au kusaga mchele na kuuza kwa wateja au kwenye masoko.
- Kujenga shule ya English media: Hii ni biashara ya kuanzisha shule ambapo lugha ya kufundishia ni Kiingereza. Shule ya English media inalenga kutoa elimu bora kwa wanafunzi kwa kutumia lugha ya Kiingereza kama njia ya mawasiliano na ufundishaji.
- Kufungua Bucha/Kufungua Duka la Samaki:
- Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline: Biashara hii inajihusisha na kuuza vifaa vya simu za mkononi, simu za mezani (landline), na vifaa vingine vya mawasiliano. Unaweza kutoa huduma ya mauzo na ukarabati wa simu kwa wateja wako.
- Kukodisha Muziki: Biashara hii inahusisha kukodisha vifaa vya muziki kwa matukio mbalimbali kama vile sherehe, harusi, mikutano, na burudani. Unaweza kuwa na mifumo ya sauti, vifaa vya DJ, au vyombo vya muziki vinavyopatikana kwa kukodisha.
- Kuanzisha mradi wa Daladala: Hii ni biashara ya kumiliki na kusimamia daladala au mabasi ya abiria kwa ajili ya usafirishaji wa umma. Unaweza kutoa huduma ya usafiri kwa njia ya daladala katika maeneo mbalimbali na kuendesha shughuli hiyo kama biashara yako.
- Kufungua Duka la nafaka: Biashara hii inajihusisha na kuuza nafaka kama vile mahindi, mpunga, ngano, na vyakula vingine vya nafaka. Unaweza kutoa aina mbalimbali za nafaka kwa wateja wako.
- Kufungua Grocery au bar: Kuanzisha duka la bidhaa za vyakula na mahitaji ya kila siku (Grocery) au duka la vinywaji na burudani (bar). Biashara hii inajumuisha kuuza vyakula mbalimbali, vinywaji, na bidhaa nyingine za mahitaji ya kila siku au burudani kwa wateja.
- Kuuza fanicha: Biashara hii inahusika na kuuza fanicha kama vile meza, viti, vitanda, makabati, na samani nyingine za nyumbani au ofisini. Unaweza kutoa fanicha za aina mbalimbali na staili ili kukidhi mahitaji ya wateja.
- Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo: Hii ni biashara ya kutoa huduma za kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo kwa wateja. Unaweza kutoa huduma ya kuziba pancha za magari, pikipiki, baiskeli, na vifaa vingine vyenye matairi.
- Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari: Biashara hii inajihusisha na kuanzisha eneo la kuosha magari ambapo wateja wanaweza kuleta magari yao kupata huduma ya kuosha na kufanya utunzaji wa magari yao.
- Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, HALO PESA: Biashara hii inajumuisha kutoa hud
uma za huduma za kifedha za simu kama vile Airtel Money, M-Pesa, Tigopesa, na Ezy Pesa. Kupitia biashara hii, unaweza kutoa huduma za kifedha kwa wateja wako, kama vile kutuma na kupokea pesa, kulipa bili, na kufanya manunuzi kwa njia ya simu.
16. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani: Biashara hii inahusisha kuuza vyombo na vifaa mbalimbali vinavyotumika nyumbani kama vile bakuli, sahani, vikombe, na vijiko. Unaweza kutoa aina tofauti za vyombo na vifaa vya nyumbani kwa wateja ili kukidhi mahitaji yao.
17. Kiwanda cha kutengeneza fanicha: Hii ni biashara ya uzalishaji wa fanicha kwa wingi. Unaweza kuanzisha kiwanda cha kutengeneza fanicha kama meza, viti, vitanda, na samani nyingine za nyumbani au ofisini na kuuza kwa wauzaji au moja kwa moja kwa wateja.
Ili kufanikiwa katika biashara yoyote, unahitaji pia kuwa na mipango thabiti, uongozi bora, na kutoa huduma bora kwa wateja wako.
Kumbuka pia kuwa biashara inahitaji uvumilivu na juhudi, na inaweza kuchukua muda kabla ya kuanza kupata faida.
Jitahidi kujifunza na kuboresha biashara yako kulingana na mabadiliko ya soko na mahitaji ya wateja ili kuendelea kukua na kufanikiwa.
Kuna haja gani mwandishi kuonyesha mifano wakati yote aliyoandika hapo yanafanywa huko mtaani. Kwa ushauri wangu ndugu Adil jifunze jambo lolote lililo mbele yako kama hujalipenda sio vyema kushawishi na wengine wafuate mawazo yako. Wenzako wanajifunza hayahaya ya bila mifano na wanaanzisha biashara na zinasonga mbele. Ni nani asiyeijua biashara ya duka la hardware humu ndani. JIONGEZE DON'T BE NEGATIVEWabongo!! nisikilizeni....!!
Haya mawazo ni mazuri sana...ila kabla ya kufuata kilichoandikwa humu ndani!!
Embu jiulizeni kwanza:
1. Je, alieandika katoboa kupitia hizi biashara?
2. Je, alieandika anajishughulisha na nini?
3. Na kama ameshafanya mojawapo ya biashara, mbona hajatuonyesha faida na mapungufu yake?
Kwanini nasema hivi!!
Ni kwasababu, hapa bongo kunatatizo kubwa sana, la kushawishiana UJINGA!!
Unakuta mtu, hafanyi kile asemacho alafu anawashawishi watu, wafanye kitu fulani...
Kama huu si kuambukizana Ujinga ni Nini?
Wajuba kuweni makini na kila mnachoambiwa kufanya katika hii mitandao...maana fujo ni nyingi sana humu mitandaoni.
Wewe unafanya hiko, kitu au unanyegeka tu!Kuna haja gani mwandishi kuonyesha mifano wakati yote aliyoandika hapo yanafanywa huko mtaani. Kwa ushauri wangu ndugu Adil jifunze jambo lolote lililo mbele yako kama hujalipenda sio vyema kushawishi na wengine wafuate mawazo yako. Wenzako wanajifunza hayahaya ya bila mifano na wanaanzisha biashara na zinasonga mbele. Ni nani asiyeijua biashara ya duka la hardware humu ndani. JIONGEZE DON'T BE NEGATIVE
Sio wote wanaroho kama yako bwana Adili. Wengine ni watoaji wa mawazo. Kuwa mvumilivu hii ni global world kila jambo litawekwa wazi utake usitake.Wewe unafanya hiko, kitu au unanyegeka tu!
Usiongee kuhusu yafanywayo na watu wengine...ongea kile unachofanya wewe!!
Pia watu wanaofanya hizo biashara hawana nyege za kuropoka ovyo, coz wanajua kile wanachofanya kinahitaji vitendo zaidi na sio porojo za kijinga.
Unajua shida yako wewe ni kuwa hufikirii na pia huulizi, kwa ninavyo kuona wewe ni mtu wa kufuata mkumbo.Sio wote wanaroho kama yako bwana Adili. Wengine ni watoaji wa mawazo. Kuwa mvumilivu hii ni global world kila jambo litawekwa wazi utake usitake.
Bwana Adili, Mzee Kikwete alishawahi kusema za kuambiwa changanya na zako. Chukua wazo lichakachukue. Ulichokosa hapo ni uthubutu. Kemea roho ya kukosa uthubutu. Mwambie JEHOVA niondolee roho ya kujiuliza mara mbili mara nionapo wazo. Hakuna mtu wakukutapeli fedha yako maana hiyo biashara unajifungulia mwenyewe.Unajua shida yako wewe ni kuwa hufikirii na pia huulizi, kwa ninavyo kuona wewe ni mtu wa kufuata mkumbo.
Na ndiomana watu kama ninyi ni rahisi kutapeliwa ama kupotezeshwa maboya na kwenda kuchoma pesa zenu kijinga kabisa.
Kwasababu, hujakaa kutafakari kama Wazo ni Wazo tu, Wazo halina uhalisia Mpaka lifanyike kwa Vitendo.
Mfano; sasahivi nije na wazo na nianze kusema "Ukiwa na million zako 2 tu, unaweza anzisha biashara ya kilimo cha nyanya na utapiga pesa sana....yaan mwaka huu lazima utoboe"
Unadhani ni wangapi kama wewe, watapotea!!???
Kwendaa uko...na upuuzi wako!!Bwana Adili, Mzee Kikwete alishawahi kusema za kuambiwa changanya na zako. Chukua wazo lichakachukue. Ulichokosa hapo ni uthubutu. Kemea roho ya kukosa uthubutu. Mwambie JEHOVA niondolee roho ya kujiuliza mara mbili mara nionapo wazo. Hakuna mtu wakukutapeli fedha yako maana hiyo biashara unajifungulia mwenyewe.
Njoo uongee humu JF ukishakuwa Tajiri...na kama lah, nenda ukajichue kichwa vizuri...Bwana Adili, Mzee Kikwete alishawahi kusema za kuambiwa changanya na zako. Chukua wazo lichakachukue. Ulichokosa hapo ni uthubutu. Kemea roho ya kukosa uthubutu. Mwambie JEHOVA niondolee roho ya kujiuliza mara mbili mara nionapo wazo. Hakuna mtu wakukutapeli fedha yako maana hiyo biashara unajifungulia mwenyewe.
Kweli..Umejitahidi ila kuna biashara umeziweka hapo kutoboa kwake ni ngumu sana hadi uwe na ubunifu wa hali ya juu.