Hizi ndio dalili za kuwa wewe ni Domo zege!

Hizi ndio dalili za kuwa wewe ni Domo zege!

1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!

2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!

3;Kuonga kupita kiasi

4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.

N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa!
Kama ni hivyo basi wanaume karibia wote ni madomo zege maana sasa hivi hatubembelezi wanawake tena. Tukikutongoza ukiringa tunapita hivi
 
Back
Top Bottom