Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Singa Singa

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
47
Reaction score
46
Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio mwendelezo wake.

Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.

Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;

  1. The Astor Bloodline
  2. The Bundy Bloodline
  3. The Collins Bloodline
  4. The DuPont Bloodline
  5. The Freeman Bloodline
  6. The Kennedy Bloodline
  7. The Li Bloodline
  8. The Onassis Bloodline
  9. The Reynolds Bloodline
  10. The Rockefeller Bloodline
  11. The Rothschild Bloodline
  12. The Russell Bloodline
The Van Duyn Bloodline

esp_so1x.jpg

Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;

97082_640.jpg

Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
 
Si kweli......hv drug cartels wanawezaje kuwa kwenye upuuzi huuu......pathetic
 
Chief nimeipenda, kwa sasa napita ila nitakuja kuongezea nyama kiduchu kuhusu hili likitu, ni kubwa sana ndana yake. (Humo ndimo kulimo na siri ya mambo ya duniani)

Back
Top Bottom