Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Get Rich Or Die Tyr
Hizi ni conspiracy theories hakuna lolote uongo mtupu.
Pathetic Thread
Mkuu habari ya siku?
Mkuu hebu nisaidie kuthibitisha huu uongo maana hii kitu inaniumiza sana kichwa na utakuwa umenisaidia sana mkuu!
wakuu hivi huyo DISNEY hapo kwa list ndio WALTY DISNEY au ndo mwingine huyo ??
na huyo Kennedy je ndio yuleyule JOHN KENNEDY au ??
na vp kuhusu rebo ya JAY-Z iitwayo ROCKEFELLER ??
nimemuona Rockefeller hapo
Za siku nzuri mkuu sijui kwa upande wako,
Ninasema haya mambo ni uongo kwa sababu hawa jamaa hawana uthibitisho na wasemacho.
hawa jamaa nimesikia kuwa wana uhusiano pia na wale malaika walioshuka kutoka mbinguni na kuja duniani na kuzaa na binti za binadamu baada ya kuona totoz nzuri-nzuri duniani
imagine the disaster baada ya kutoa offspring kati ya binadamu na hao malaika
hakuna malaika aliyewahi kuzaa na mwanadamu.
mwanzo 6: (1-8)
Hii ni kweli wakuu, hizi blodline families zina miaka mingi sana zinaendesha dunia hii tunayoishi...km huamini nenda Wikipedia utapata haya yote