Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni conspiracy theories hakuna lolote uongo mtupu.
Mkuu kama wewe huyaelewi haya mambo si uminye tu ili wanaoelewa wakujuze kuliko kusema uongo mtupu, au kama ni uongo njoo na yakwako basi ya kuthibitisha kuwa ni uongo.
Haya wewe unayeelewa hebu nipe uthibitisho wa hayo madai hapo juu
Ndio maana nikasema "wanaoelewa wakujuze" not necessarily niwe mimi, maana wewe umesema direct kabisa kuwa "ni uongo mtupu" na ndipo hapo niliposema kama unauhakuka asilimia 100 kuwa ni uongo mtupu, leta uthibitisho basi
Nina ushauli huu, kama unaweza basi jitahidi kutafuta kajikitabu kadoogo kanaitwa (kama sijakosea) 'The secret of Terrorist' kisha tutarejea kwa history.
Only if they were immortals, then I could believe it.
lucifer-mkuu wa malaika wote waovu waliotimuliwa siku ile mbinguni na kutupwa duniani.Hiyo kazi ya kuumaliza ulimwengu wamepewa na nani?
Hiyo kazi ya kuumaliza ulimwengu wamepewa na nani?
Upuu.zi mtupu
SI MCHEZO MKUU....BALAAAGet Rich Or Die Tyr
mkuu hama huko hawa ni wahuni kama wahuni wengine tumimi naweza kuamini kwa asilimia 32% hasa hasa nikiangalia jinsi nchi kubwa kama usa na uk wanavyo advocate ndoa za jinsia moja, tena wanalazimisha nchi zote duniani zikubaliane.
Nilichoka niliposikia eti kanisa langu rc wamefikia point ya kuipigia kura hii kitu!
WaChina wako mbali sana kimaendeleo
Na hawana influence ya hawa watu..