Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Only if they were immortals, then I could believe it.
 
Nimeona coca cola na pepsi co, ina maana yule mzee upara naye yuko huko kwao?
 
Mkuu kama wewe huyaelewi haya mambo si uminye tu ili wanaoelewa wakujuze kuliko kusema uongo mtupu, au kama ni uongo njoo na yakwako basi ya kuthibitisha kuwa ni uongo.

Haya wewe unayeelewa hebu nipe uthibitisho wa hayo madai hapo juu
 
Haya wewe unayeelewa hebu nipe uthibitisho wa hayo madai hapo juu

Ndio maana nikasema "wanaoelewa wakujuze" not necessarily niwe mimi, maana wewe umesema direct kabisa kuwa "ni uongo mtupu" na ndipo hapo niliposema kama unauhakuka asilimia 100 kuwa ni uongo mtupu, leta uthibitisho basi
 
Ndio maana nikasema "wanaoelewa wakujuze" not necessarily niwe mimi, maana wewe umesema direct kabisa kuwa "ni uongo mtupu" na ndipo hapo niliposema kama unauhakuka asilimia 100 kuwa ni uongo mtupu, leta uthibitisho basi

Nina uhakika 100% kwamba ni uongo kwa sababu mleta mada hawez kithibitisha,

Mf; anasema hizo familia zinajiita mungu watu aje athibitishe kwa qoutation hata au vyovyote vile.

Huwez ukaja na madai makubwa kama hayo bila ushahidi wowote, tujaribu kuumiza vichwa na si jukubali kila tusomacho kwenye mtandao
 
Nina ushauli huu, kama unaweza basi jitahidi kutafuta kajikitabu kadoogo kanaitwa (kama sijakosea) 'The secret of Terrorist' kisha tutarejea kwa history.

Ntakituafuta mkuu, ila ingekuwa vizuri ukintajia na muandishi
 
Hiyo kazi ya kuumaliza ulimwengu wamepewa na nani?

Upuu.zi mtupu
 
Mwaga mchuzi mkuu anayeuita uongo atarekebisha pasipo sahihi
 
Hiyo kazi ya kuumaliza ulimwengu wamepewa na nani?

Upuu.zi mtupu

Mimi naweza kuamini kwa asilimia 32% hasa hasa nikiangalia jinsi nchi kubwa kama USA na UK wanavyo advocate ndoa za jinsia moja, tena wanalazimisha nchi zote duniani zikubaliane.

Nilichoka niliposikia eti kanisa langu RC wamefikia point ya kuipigia kura hii kitu!
 
mimi naweza kuamini kwa asilimia 32% hasa hasa nikiangalia jinsi nchi kubwa kama usa na uk wanavyo advocate ndoa za jinsia moja, tena wanalazimisha nchi zote duniani zikubaliane.

Nilichoka niliposikia eti kanisa langu rc wamefikia point ya kuipigia kura hii kitu!
mkuu hama huko hawa ni wahuni kama wahuni wengine tu
 
Unajua hii kitu wanataka waihubiri kwa nguvu mpaka watu waiamini kuwa ipo....
Kisha iwe rahisi kwa wao kupenyeza haja za mioyo yao....
 
Duh,nimesoma kipengele cha The biggest secret-The today network kweli nimepata mengi aisee,kumbe hata hii May mosi day ni siku muhimu kwao inaambatana na rituals.Na nimeshangaa kwa kuweza kutengeneza connections zao na wauza unga,wao wana maagents kote kote kwa wauzaji na wanaozuia na sehemu zingine hivyo hivyo ..alafu wanavyotumia newsroom na The round table network kutusetia ajenda huku tukipelekwa kuzimu unknowingly
 
Back
Top Bottom