Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Nina ushauli huu, kama unaweza basi jitahidi kutafuta kajikitabu kadoogo kanaitwa (kama sijakosea) 'The secret of Terrorist' kisha tutarejea kwa history.

Kitabu kinaitwa The secret terrorist kimeandikwa na Bill Hughes kwa kifupi ni moja ya Vitabu vilivyoni inspire kutaka kufahamu juu ya uwepo wa mambo haya!
 
mkuu ALEYN hapo ndio patam haswaa
kwani wewe umeelewaje ?
elezea kidogo ulivyo elewa hayo maandiko ili tupate pa kuanzia

Mh…!!
Hebu tuweze kufuatia comments za watu zinasemaje vngnevo hakuna asubuhi kwa neno la Mola.
Penye kila andiko jaribu kufuatilia nucta, herufi kubwa na hata sentence na baadaye oanisha na fungu lingine linalofanana na hilo uweze kutafakali nn kinanenwa hapo, kwani unaweza soma Biblia kama sms.
Mfano hapo mwanzo 6:1… hao (wana) siyo (Wana) tofauti iliyopo ukianzia nyuma anasema wana wa Mungu waliwaona binti za binadamu kumbuka hapo zama za giza Mungu alijifanya kama haoni//hajui na ndiyo maana wanawake walikuwa hawana nafasi kuwekwa ktk hesabu ila wanaume ndo walitambulika, pia kumbuka wateuliwa/watenda kazi madhabauni hao nao Mungu aliwatenga na watu wengine, kama hv leo tunaweza sema ni wachungaji na maaskofu, hivo waliitwa wana wa Mungu...

Noted.
 
Last edited by a moderator:
Ntakituafuta mkuu, ila ingekuwa vizuri ukintajia na muandishi

Sijafuatilia muandishi wake ila nitakujuza siku si nyingi.

Kuna siri moja hivi ambayo ipo wazi ila mpaka upende kusoma kufuatilia mambo yanayoendelea humu ndani ya dunia kwamba, ile meli titanic ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kufanya mauaji ya kunufaika na waliohusika ktk hilo scandal ni hao wanafamilia, ukipata kusoma zaidi na kufuatilia unakutana na issue moja kuwa kulikuwa na matajiri kuliko hao wanafamilia watatu ila ktk mpango ambao unahusisha dhehebu flani na baba wa dunia walijenga ile meli na kuitangaza duniani kote kuwa chombo hicho kamwe hakitaweza kuzama pia kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya barafu kuweza kupenya eneo husika, but …
 
Za siku nzuri mkuu sijui kwa upande wako,

Ninasema haya mambo ni uongo kwa sababu hawa jamaa hawana uthibitisho na wasemacho.

Uko sahihi mkuu, ukitaka kufanikiwa jambo lolote wajenge hofu wapenzani wako, mafanikio ni kama kusukuma mlevi, walichokigundua haya mataifa yaliyoendelea, ili tuendelee kuwalamba miguu ni kutujengea hofu sisi maskini ili tujue ili kufanikiwa jambo lazima tuwe kwenye huo upuuzi ama tuuamini huo upuuzi. We check zile strong organization zote duniani eti ndo supporters wao hadi Vatican kwa kujua ni strong institution wameiweka humo. theories za kusadikika hizo.
 
lucifer-mkuu wa malaika wote waovu waliotimuliwa siku ile mbinguni na kutupwa duniani.

Mkuu, haya mambo hayaendi hivi hivi tu, hapa kuna suala la unabii ambao piga ua garagaza lazima utimie na ndiyo maana weengi tunaona mambo mengine kama cinema ya kihindi vile mh…!!.
 
Mkuu tukiwa tunaendelea na mada hii nahisi wafia dini watakuja na povu likiwatoka mdomoni kuona wanatukaniwa dini/dhehebu lake, kumbe mfumo ndivo ulivo na historia ipo wazi kutuhukumu.
Hebu tupeane weledi na tuweze kuendelea kujadili huku tukiweka ujazo kidogodogo.
Tukiwa tunasubiri utashi naomba mwenye kuwahi kukisoma kijitabu kidogo kiitwacho, "The secret of terrorist" atupe kidogo kilichojiri ndani ya kijitabu hicho.

mkuu sio kwamba hicho kitabu ni "The Secret Terrorrist"?
 
Sijafuatilia muandishi wake ila nitakujuza siku si nyingi.

Kuna siri moja hivi ambayo ipo wazi ila mpaka upende kusoma kufuatilia mambo yanayoendelea humu ndani ya dunia kwamba, ile meli titanic ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kufanya mauaji ya kunufaika na waliohusika ktk hilo scandal ni hao wanafamilia, ukipata kusoma zaidi na kufuatilia unakutana na issue moja kuwa kulikuwa na matajiri kuliko hao wanafamilia watatu ila ktk mpango ambao unahusisha dhehebu flani na baba wa dunia walijenga ile meli na kuitangaza duniani kote kuwa chombo hicho kamwe hakitaweza kuzama pia kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya barafu kuweza kupenya eneo husika, but …

Ndo maana nasema hizi consipiracy theories ni uongo. Mkuu ajali ya Titanic ina consipiracy nying sana.

Mojawapo ni kwamba Titanic ilikuwa imebeba yale masanamu kutoka pyramids za egypt, na inaaminika kwamba hayo masanamu huusishwa na bahati mbaya (mikosi) ndo maana meli ilizama. Wewe unaniambia ilikuwa imebeba matajiri ndo maana ilizama, sasa tuamin lipi tuache lipi?

Kuna maelezo mazuri tu ya chanzo cha ajali ya Titanic na yanaeleweka, kwa nini tuamini conspiracy theories mkuu?
 
Uko sahihi mkuu, ukitaka kufanikiwa jambo lolote wajenge hofu wapenzani wako, mafanikio ni kama kusukuma mlevi, walichokigundua haya mataifa yaliyoendelea, ili tuendelee kuwalamba miguu ni kutujengea hofu sisi maskini ili tujue ili kufanikiwa jambo lazima tuwe kwenye huo upuuzi ama tuuamini huo upuuzi. We check zile strong organization zote duniani eti ndo supporters wao hadi Vatican kwa kujua ni strong institution wameiweka humo. theories za kusadikika hizo.

Well said mkuu, mimi huwa nasikitika sana kuona mtu anaamin upuuzi kama huu,

Yaani watu wakiwa matajiri mara utasikia freemason mara wanataka dunia moja wapi na wapi?

Hawa hawa ndo walisema 2000 mwisho wa dunia ikashindikana, wakadai 2012 ikagoma, sasa sijui wanataka nini.
 
Sijafuatilia muandishi wake ila nitakujuza siku si nyingi.

Kuna siri moja hivi ambayo ipo wazi ila mpaka upende kusoma kufuatilia mambo yanayoendelea humu ndani ya dunia kwamba, ile meli titanic ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kufanya mauaji ya kunufaika na waliohusika ktk hilo scandal ni hao wanafamilia, ukipata kusoma zaidi na kufuatilia unakutana na issue moja kuwa kulikuwa na matajiri kuliko hao wanafamilia watatu ila ktk mpango ambao unahusisha dhehebu flani na baba wa dunia walijenga ile meli na kuitangaza duniani kote kuwa chombo hicho kamwe hakitaweza kuzama pia kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya barafu kuweza kupenya eneo husika, but …

Mkuu mimi nilikuwa nacho nilipewa ka zawadi kwenye basi na m Irish mmoja nilikisoma but hakikunipendeza mwanzo but siku moja nilikuwa na chat na a friend akanitajia kitabu hicho then nikakisoma upya for sure from there nimekuwa nikijiuliza how this people are so smart na kama kweli ni binadamu wakawaida
 
Ndo maana nasema hizi consipiracy theories ni uongo. Mkuu ajali ya Titanic ina consipiracy nying sana.

Mojawapo ni kwamba Titanic ilikuwa imebeba yale masanamu kutoka pyramids za egypt, na inaaminika kwamba hayo masanamu huusishwa na bahati mbaya (mikosi) ndo maana meli ilizama. Wewe unaniambia ilikuwa imebeba matajiri ndo maana ilizama, sasa tuamin lipi tuache lipi?

Kuna maelezo mazuri tu ya chanzo cha ajali ya Titanic na yanaeleweka, kwa nini tuamini conspiracy theories mkuu?

Do, kazi kweli ipo mdau, hapo kama umesoma vyema sijasema moja kwa moja kwamba meli imezama kutokana na kubeba matajiri, (rudia kusoma) ila nimeandika kwa ufupi na mwishoni nimeweja (…) kuashilia habari bado inasonga mbele kama mtakuwepo wenye nia ya kujifunza na mimi nijifunze kutoka kwao.
So tuwe pamoja tusije kuanza kupotosha umma wa wanaofuatilia.

Japo kitu kimoja hapo kwako kuhusu pyramid za egypt naweza sema si kweli kwamba meli ile ilibeba, (HAPANA) ngoja tutapata elimu hapahapa japo wenye ujuzi wamelala now.
 
Mkuu, haya mambo hayaendi hivi hivi tu, hapa kuna suala la unabii ambao piga ua garagaza lazima utimie na ndiyo maana weengi tunaona mambo mengine kama cinema ya kihindi vile mh…!!.

Mkuu umewahi kujiuliza how waliweza ku plani kuzamisha Titanic six month later ikafunguliwa united federal bank ambayo ilifinance Russian revolution na vita ya kwanza ya dunia
 
sasa singa singa marekani utaendaje kama mambo hayo unaogopa ?

Ww ndo umeona mbali zaidi, huyu ataishia kulaghai bongo tu coz muoga sana stori za kusadikika.
 
Well said mkuu, mimi huwa nasikitika sana kuona mtu anaamin upuuzi kama huu,

Yaani watu wakiwa matajiri mara utasikia freemason mara wanataka dunia moja wapi na wapi?

Hawa hawa ndo walisema 2000 mwisho wa dunia ikashindikana, wakadai 2012 ikagoma, sasa sijui wanataka nini.

Ah hahahahaaaaa...
Hakika msomi akisimama barabarani na kusema condoms ni salama tutamkubali, sasa basi asimame ngumbalo flani hivi atamke maneno yale yale sehemu ambayo msomi akusikika anasema, nini kitatokea baadaye.
(USIJIBU kaa na jibu nafsi mwako)

Bado historia inaendelea kutumika tu hata iweje, hivyo basi huu ambao ni upuuzi watu wenye mabhehebu yao na wanaoamini msaafu Biblia na kusoma vitabu vyote 66, wanaelewa kuwa kuna UNABII ambao laxima uje kutimia, hivyo kila kitu na wakati wake chief.
Kwani nani anayebisha chief wa iringa (somebody) hakujiua kwa sababu hakutaka kukamatwa wa wakoloni?
Kutokana na hilo future days age watasema as u said ah…!!
 
Mkuu umewahi kujiuliza how waliweza ku plani kuzamisha Titanic six month later ikafunguliwa united federal bank ambayo ilifinance Russian revolution na vita ya kwanza ya dunia

Chief ngoja tupumzishe brain baadaye Mola akipenda, tutapeana data zaidi.
 
asiyejua maana hambiwi maana an ancestorz walisema.kwaio 2siojua nini kinaendele ulimwengu wacha tuambiwe maana kutoka kwa wachangiaji murua.mi nilikua nashangaa hadi china kuipiku mwamerika kiuchumi nilishangaa sana tangu lini china kumshinda kiuchumi mwamerika? kumbee ni wale waleee wa 13 FAMILY OF ILLUMINATI-NEW WORLD ORDER.kama wao ni NWO basi mimi ni ANTI-NEW WORLD ORDER.mada murua tujuzane tumwage mchele tuache malumbano atakae amini abaki kuamini na asiyeamini abaki asiamini.lakini uzi wazidi songa mbele.
 
Hii mada ni nzuri sana naamini nitajifunza kitu hapa..ila nimeshangaa sana hamna bloodline hata moja kutoka afrika....???kuna hii familia ya mansa Musa walikuwa matajiri sana
 
Back
Top Bottom