Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Na ndiyo maana nikauliza kuhusu kuachwa yatima takribani siku kama 3AU4 so tuwe mkao wa kula soon>>>
Lakini pia singa singa naye asituache ukiwa maana bado ana deni 🙂

Mkuu timiza ulicho ahidi katika bandiko la awali katika Uzi huu
 
Kuna hii kitu hapa chini…
The Jesuits of Rome can be very secretive, yet their hand can be felt in the Federal Reserve Bank, the CFR, the sinking of the Titanic, and the destruction at Waco, Ruby Ridge, the Oklahoma Federal building bombing, and the attack we now call "911". The objective is foment terror by causing one emergency after another, as our lawmakers transfer more and more power to the government, eroding our precious civil liberties granted in our Constitution and Bill of Rights.
If you would like to know what the Vietnam war was really about, this author will provide you with the motives behind it.
After this please follow down comments …
 
Kuna siku nilielezea kwa kidogo sana kwamba, wakati mv. Titanic inaundwa kulikuwa na secret agenda kwa mashirika kadhaa ya ki_jesuit kuwa humo watapanda matajiri wakubwa wa dunia ambao hawamo kwenye mtandao wa dunia, lengo kubwa ni kuwafisha na kupata fedha zao kiurahisi wkt ile meli ikiwa imezama na wao kufa.
Hapa tunaona baada ya meli kuanza safari ilipitia nchi zote ambazo zina wale watu wanaowataka, ila wakati inaanza safari rasmi kuzunguka dunia kuna watu flani walishuka njiani na…>>>
 
Nitoe ukoko kichwani yasemekana mapapa wote wa roma n masonic na malkia wa UK pia..?
 
mada hii ni nzuri lazima w aptikane walioaidi na kutimiza kwa uzi huu.
 
Wengi wanaobisha, hamjachambua vitabu vya waandishi pia hamjasoma makala nyingi, ila kutokupenda kusoma makala nyingi ni kasumba ya watanzania hivo wanaobisha siwashangai, coz naona wanabisha bila ushahidi..
 
Wadau nilichanjwa na panya road na wakaondoka na kisimbizi changu but hii mada tukiwa tayari inaweza kusonga mbele...
 
Hizi propaganda na upuuzi wa imani za ajabu ajabu tunazotaka tuaminishwe tutumieni akili zetu maana siku hizi kuna mabango eti hadi waganga watanzania wanataka kuunganisha watu na freemasonry(hahahaa)


Haya mambo ya familia cjui nn yote ni myths tu za ajabu ambazo cjaelewa kwann zinaexist kwa mfano suala la waisrael kuwa na akili kushinda watu wote duniani(mi ni mkristo mind u) ..
 
el nino, hata imani ya binadamu tumetokana na sokwe kutokana na mabadiriko nalo si unalipinga?
Sasa ikija issue ya kupata PhD flani lazima utasema ndiyo ulikuwa nyani, kwa nn ni kwa sababu ya historia.
Asante.
 
Ukitaka kumficha mtanganyika kitu, kiweke kwenye maandishi! Inawezekana haka kamsemo kana ukweli.

Watu wanabisha wakati hawana taarifa coz hawasomi. Af still unajiita msomi elimu yenyewe tunasoma historia.

Kuna watu hawajaumbwa kukaa kimya na kujifunza akyamungu
 
Back
Top Bottom