hakuna malaika aliyewahi kuzaa na mwanadamu.
Soma kwenye bible sehemu inayoeleza khabar za nabii nuhu (a.s) .kabla ya gharika .!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna malaika aliyewahi kuzaa na mwanadamu.
Dstv-Digital satelite televvision, hiki sio kirefu halisi cha Dstv kirefu halisi ni Digital satanic television.Vipi na mpango wa mambo ya satelite angani wanahusika na hawa? mwenye ujuzi anakaribishwa.
maswali ya msingi sana haya na ndipo watu tunapoanzia kukwama hapo, huwa ninajiuliza mara kwa mara:Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?
HIYO TAFSIRI Umekosea. wana wa mungu katika bible inamaanisha wale binadamu wamchao mungu. sio kama ulivyoiweka wewe.mwanzo 6: (1-8)
Kama ukweli ni binadamu wa mchao Mungu kwa nn? Mungu alisema "Roho yangu hsitashindana na mwadamu" kisha akapunguza siku za kuishi? ingekuwa jambo la heli Mungu asingepunguza siku za kuishi. kunasehemu Biblia haina tafasli. unahitaji hekima ya Roho mtakatifu.[/
QUOTE]
Wewe akili yako ndogo..I,e hili jukwaa halikufai mkuu..wewe nenda mmu na jukwaa la dini ndio mahali pako...sorry to speak the truth.