Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Ni ngumu kumanage watu bilioni 7 nafikiri Third world war inakuja ili kuminimize idadi ya watu mana biological weapons zinachemsha huu ulimwengu una mengi sana Mataifa yalijikomboa kielimu Yanataka kumaintain stability yao kila nyanja Africans tunahitaji kupambana kivyovyote hata kama tutapitia magumu ila ndo tutakuwa tunatengeneza future nzuri ya bara letu tukisubiri kila kitu atuambie mzungu basi tutashika mkia forever
 
Sometimes wewe unaweza kubeza kumbe ndio ukweli. Jiulize maswali je waijua vema dunia na misingi yake? Je wamjua vema na kumfahamu mtu mmoja mmoja na dhamila yake kwa dunia nzima?
maswali ya msingi sana haya na ndipo watu tunapoanzia kukwama hapo, huwa ninajiuliza mara kwa mara:
ni kiasi gani ninafahamu..??
Je hicho ninachokifahamu ndicho nitakiwacho kukijua..??
Je hicho ninachokifahamu ndio uhalisia wake upo hapo..??
 
mkuu singa singa..unachosema ni kweli hizi familia nimezisikia muda mrefu sana taasisi zote kubwa za kimataifa wanazi control wao..haswa hizi the so called central bank zilipo inchi mbalimbali.....nasikia hata na hii the so called federal reserve sio bank ya serikali ya marekani bali ni private bank...nasikia jf kennedy alitaka kurudisha mamalka ya kuprint ela kwa us treasury kutoka federal reserve....baada ya kuona jf kennedy anataka kuwaribia deal lao...wakamdedisha....

ndio hawawa kutumia ushawishi mkubwa walianzisha league of nations kumbe underneath ilkua ni kukusanya inch kwa pamoja iwe raisi..kuzitawala by wao

ndo hawahawa wanaotumia makumpuni mbali kupitia controlling stakes underneath kupromote vitu vya ajabu ajabu....genetically modified foods kama hili la mosanto linasombaza mbegu inchini mwetu..
 
Kama ukweli ni binadamu wa mchao Mungu kwa nn? Mungu alisema "Roho yangu hsitashindana na mwadamu" kisha akapunguza siku za kuishi? ingekuwa jambo la heli Mungu asingepunguza siku za kuishi. kunasehemu Biblia haina tafasli. unahitaji hekima ya Roho mtakatifu.
 
Kama ukweli ni binadamu wa mchao Mungu kwa nn? Mungu alisema "Roho yangu hsitashindana na mwadamu" kisha akapunguza siku za kuishi? ingekuwa jambo la heli Mungu asingepunguza siku za kuishi. kunasehemu Biblia haina tafasli. unahitaji hekima ya Roho mtakatifu.[/
QUOTE]

Wewe akili yako ndogo..I,e hili jukwaa halikufai mkuu..wewe nenda mmu na jukwaa la dini ndio mahali pako...sorry to speak the truth.
 
Mtaishia kuamini upumbavu Wenzenu wanafanya maajabu. Hakuna mdudu anaitwa mungu acheni ujinga
 
Za mida wakubwa,
Katika uendeshaji wa dunia bila shaka Luna boss kama sijakosea, hii ni kwasababu utawala wa mataifa mengi hasa hapa Afrika tuko chini ya nchi zenye nguvu kama US. Unaweza husione jinsi gani tunaongzwa na hao watu wa NWO( new world order) lakini wapo mpaka sasa, na kwetu Tz wameingilia kupitia dini. Tunaeza kuona kama tunajiogoza lakini uchumi wetu unaongozwa kwa asilimia kubwa, kila boss na boss wake. Ni swala zuri kulijua.
 
yote hiyo ni mipango ya lusifa,, na anafanya hivyo kwa malengo maalumu

watu wana doubts sana kuhusu haya mambo ila yapo,,
 
Dah natamani niweke post juu ya Freemason (wajenzi huru)
Hii post inaeleza familia 13 za free mason.

Ngoja nichangie dondoo kisha siku nitapost kirefu.

Mtoa post hii yupo sahihi sana juu ya free mason na inaelekea anaufahamu fln kuelekea freemason.

Kwanza tambueni free mason walikuwepo kabla dini hazijakuwepo. Namaanisha ukristo na uislam. Kwakuwa hizi zilikuja kwa misingi ya mitume. Kabla ya hapo imani kuelekea MUNGU ilikuwa moja tu.

Freemason ni chama cha kushetani cha kupinga mipango ya Mungu..

Freemason ndio wanatawala dunia. Na wanatawala dunia kwa njia kuu 3.
1. Kiutawala/ongozi
2. Kiuchumi
3. Kielimu.
Ndio maana duniani huwezi kuruhusiwa uprint pesa zako

Ndio maana greemason lazima awe msomi au lzm upandishwe sana ktk fani fln. I mean hupaswi kuwa wa kawaida. Unatakiwa kuwa zaidi ya kawaida.

Freemason hutawala dunia kwakutumia alama. Zingatia kuwa wao ndio walioanzisha mfumo wa kutumia Logo.
(Sasa utashangaa hata dini zetu zina Logo.... Msalaba, mwezi na Nyota)
Mungu alimkataza mwanadamu kujifanyia mfano wa kitu chochote kilichopo juu angani wala ardhini na ukakiabudu. Sasa sijui nyota na mwezi na mbao za misalaba zipo wapi?

Freemason hutumia namba fln ktk kutekeleza masuala yao muhimu. Nba hizo ni 1 3 5 7 9 11 13 ......
Namba 7, 9, 11, 13 ni namba takatifu sana ktk masuala ya kifreemason. Ukiangalia matukio makubwa duniani hubeba namba hizo. Mf september 11 mwaka 1999 mnajua nini kilitokea afrika mashariki na pale amerika.
Kwawale mnaosafiri sana.. Mnaweza kutuambia ktk mahoteli makubwa kuna chumba namba 13? Siku nikipata nafasi nitawaelezea histotia na matukio yalowahi kutokea ktk room namna 13. Kwenye mahotel makubwa duniani.

Freemason wajanja sana. Ndio waliobuni baadhi ya michezo kama kalata na football. Ndio maana mashindano hayo huanza tarehe 31.
Hiyo 31 ni sawa na 3+1=4. Hiyo 4 ndio idadi ya miaka ya kukaa na kombe la dunia.
Na football huwa na wachezaji 11 kila upande. Na wachezaji wa receive huwa wa3 kila upande. Waamuzi huwa wa 5. Wa3 huwa uwanjani.

Ktk kalata dume huwa namba 11 na jike huwa namba 7.

Na ktk freemason kuna vyeo. Siku nitavichambua.. Illuminant ni nani na wengine ni akina nani.

Angalia ktk nembo za sehemu nyeti utaona zinacheza sana na namba nilizotaja. Mf. Angalia kile kichane cha ngano ukihesabu utaona vile vipunje vipo 13. Angalia nembo ya jeshi pia utaona hayo.

Anyway hizo ni dondoo tu.
 
Hizi imani zitawatesa saaaana Kama ilivyoeatesa popo bawa
 
Back
Top Bottom