Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Mkuu hapo kwenye column ya 'Religious' umeitaja VATICAN? Au ni macho yangu!
Mkuu inamaana hujui kama VATICAN Ipo? Viongozi wao mbona wanatumia sana sign za Kiuliminati wakati wa salam pindi wakikutana na viongozi au wenzao? Hapa sitaki kuzungumzia issue za kidini, nasimamia hoja hii hii nenda kagoogle utapata mengi kuhusiana na hayo, na ndo maana hata hawa wafuasi wao wadogo wadogo ambao wengi wapo kweney Music/Movie (Entainment) hawa wafuasi wao wakitaka kujitoa wengi hukimbilia kwenye Uislam huko ndo wanahisi wako salama zaidi....Fatilia mahojiano ya Dada yake Michael Jackson hawa jamaa, alisema Michael alihisi uislam pekee ndo sehemu salama kwake, mana walishapanga kumuua n.k...story ndefu nenda google uwajue wafuasi wake wote, na alama zao n.k. mana documentary zao ukiangalia ni kama movie waweza angalia hata 1 hr ila unapata elimu nzuri juu yao.
 
kha! nyi hangaikeni na hizo imani, huko. Google hata ukisearc mke wa Obama mwanaume unakuta
 
Mtu anaesema ni upuuzi yupo nyuma sana kifupi ni kama mtu asiyejua yupo wap na anaenda wapi? Jiulize kwa nini waislam wanapigwa vita kila Leo hapo utajua vitu vnapangwa refer crusade war ni mambo ya new world order hayo siri nyingi sn zipo muwe wafuatiliaji
 
Mkuu inamaana hujui kama VATICAN Ipo? Viongozi wao mbona wanatumia sana sign za Kiuliminati wakati wa salam pindi wakikutana na viongozi au wenzao? Hapa sitaki kuzungumzia issue za kidini, nasimamia hoja hii hii nenda kagoogle utapata mengi kuhusiana na hayo, na ndo maana hata hawa wafuasi wao wadogo wadogo ambao wengi wapo kweney Music/Movie (Entainment) hawa wafuasi wao wakitaka kujitoa wengi hukimbilia kwenye Uislam huko ndo wanahisi wako salama zaidi....Fatilia mahojiano ya Dada yake Michael Jackson hawa jamaa, alisema Michael alihisi uislam pekee ndo sehemu salama kwake, mana walishapanga kumuua n.k...story ndefu nenda google uwajue wafuasi wake wote, na alama zao n.k. mana documentary zao ukiangalia ni kama movie waweza angalia hata 1 hr ila unapata elimu nzuri juu yao.
Bad news kitabu cha author bill hughes kaelezea how Islam religion was made by Vatican, tuache tu hizi dini tufanye yetu, huku khadija kule Maria, huku rozari ya kikristo kule ya Kiislam, huku maka, kule Vatican, huku Muhammad kule papa, huku jiwe linasujudiwa kule sanamu, huku tnachutama kaulize na kule viongozi wa wanasalije, yaan mi sijui kwakweli naendelea kusachi kati ya uislam na ukristo na lipi lipo sawa
 
Acha kubadili mada hapa haujazungumziwa uislam na ukristo ipi dini ya kweli, issu ni ya illuminati tafuta historia au vitabu vyao humo ukikosa Vatican ndo urudi na hoja yako, sie tunaandika kile walichoelezea au kuandika,
 
Bad news kitabu cha author bill hughes kaelezea how Islam religion was made by Vatican, tuache tu hizi dini tufanye yetu, huku khadija kule Maria, huku rozari ya kikristo kule ya Kiislam, huku maka, kule Vatican, huku Muhammad kule papa, huku jiwe linasujudiwa kule sanamu, huku tnachutama kaulize na kule viongozi wa wanasalije, yaan mi sijui kwakweli naendelea kusachi kati ya uislam na ukristo na lipi lipo sawa
Sasa kama umeshayajua yote hayo unaendelea kusachi ya nini!?we jamaa bhana
 
Bad news kitabu cha author bill hughes kaelezea how Islam religion was made by Vatican, tuache tu hizi dini tufanye yetu, huku khadija kule Maria, huku rozari ya kikristo kule ya Kiislam, huku maka, kule Vatican, huku Muhammad kule papa, huku jiwe linasujudiwa kule sanamu, huku tnachutama kaulize na kule viongozi wa wanasalije, yaan mi sijui kwakweli naendelea kusachi kati ya uislam na ukristo na lipi lipo sawa
Mkuu, tena kwa heshima kama hujatosheka huko...njo nikuzidishie ushuhuda na dalili za wazi !!
 
Katika Dini ambayo haitaji kufanya maovu na machafu ni Dini ya Uislamu peke yake.
Ndo Dini Sahihi iliobaki.
Jiulize kwanini Illuminationers wengi wanakimbilia UISLAMU yakiwashinda uko?
wafuatilie ndo utapata jibu kwamba UISLAMU ndo kimbilio lao,kwani ndo salama yao.
 
Amini uwepo wa mungu kwan mungu amekupa uwezo wa kuzijua siri zake lakn kuna baadh ya mambo ya mung unayajua siku akiamuaa ujue ukwel utajua tuuu mwamin mungu yupo
 
Hata huku kwetu tuna familia bloodlines. Mfano,mfalme wa msoga,mfalme wa monduli,mfalme wa mwanza,mfalme wa ze makambas.
Tuvumiliane tu wakuu,hata familia yako iko siku itapanda chat.
 
Katika Dini ambayo haitaji kufanya maovu na machafu ni Dini ya Uislamu peke yake.
Ndo Dini Sahihi iliobaki.
Jiulize kwanini Illuminationers wengi wanakimbilia UISLAMU yakiwashinda uko?
wafuatilie ndo utapata jibu kwamba UISLAMU ndo kimbilio lao,kwani ndo salama yao.
Wewe unaumwa tumbo mkuu.
 
Moja ya amri za Mungu ni kutosujudia sanam.. Ktk uislam kuna mwezi na nyota. Na amri inasema usijifanyie kitu chochote cha kufanana kilichopo angana wala ardhini kisha ukakisujudia.

Jiulize mbele ya kibla ya msikiti kuna alama gani? Na waliomo ndani husujudu kuelekea sanamu hizo au lahh..

Kumbuka freemason ndio waanzilishi wa Logo.

Freemasons walikuwepo kabla ya uislam na ukristo. Wakati huo imani ilikuwa ni moja tu. Kimwamiji mwenyezi Mungu tu.

Madhehebu unayoyaona ndio ufreemason. Ni mipango yao.

Dunia imegawanywa ikagawanyika.. Na mtu ukimwambia wewe upo under freemason atabiahana mpaka povu la mdomo.
 
Mbona mijitu myeupe tuu, blacks hata kua illuminats tumeshindwa.

Lkn utambue Illuminant ni moja ya cheo kikubwa ktk freemason. Unaposema HATA illuminant tu.... Iluminant ni kama waziri mkuu ktk freemason
 
Back
Top Bottom