asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,754
Mkuu inamaana hujui kama VATICAN Ipo? Viongozi wao mbona wanatumia sana sign za Kiuliminati wakati wa salam pindi wakikutana na viongozi au wenzao? Hapa sitaki kuzungumzia issue za kidini, nasimamia hoja hii hii nenda kagoogle utapata mengi kuhusiana na hayo, na ndo maana hata hawa wafuasi wao wadogo wadogo ambao wengi wapo kweney Music/Movie (Entainment) hawa wafuasi wao wakitaka kujitoa wengi hukimbilia kwenye Uislam huko ndo wanahisi wako salama zaidi....Fatilia mahojiano ya Dada yake Michael Jackson hawa jamaa, alisema Michael alihisi uislam pekee ndo sehemu salama kwake, mana walishapanga kumuua n.k...story ndefu nenda google uwajue wafuasi wake wote, na alama zao n.k. mana documentary zao ukiangalia ni kama movie waweza angalia hata 1 hr ila unapata elimu nzuri juu yao.Mkuu hapo kwenye column ya 'Religious' umeitaja VATICAN? Au ni macho yangu!