Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Mkuu ckupigi ila nsaidie kupata uthibitisho na mm nkarejee. Ili hata na mm cku nkimueleza mtu hawa nmepe uthibitisho. Tafadhali mkuu
Soma,utajua kila kitu.

Fuata Link Hii. is pope a freemason - Google Search

pope-franci-illuminati-satanic-hand-gesture.jpg

images
 
Kitabu kinaitwa "bloodlines of illuminate" cha fritz ktafutene Google kimeeleza vtu vngi sana kfupi n kwamba dunia yote ipo mkonon mwao ishu za ugaid, vita, maswala ya vatcan, kucontrol uchumi Wa dunia jamaa kla sehemu wmeshika
 
Na wewe au mimi kuwa maskini sio bahati mbaya, ni mpango wao wa kuwaongoz majuha kama mimi na wewe. Na wakiona dunia inakwenda vizuri kiuchumu, wanafanya kila wawezalo kuijhairibu na kisha wao kutengeneza tiba mbadala.

Tatizo ni kuwa mijitu imekuwa mizito kusoma, imeishia ku-whatsapp tu. Ukiiambia kusoma itakwambia nisimulie.
 
Kweli Mkuu, ila watu wengi hatusomi kwasababu tushakuwa controled mind kuna kitabu kinaitwa "the biggest secret in the world " jamaa wanaainisha mipango yao wanasema uktaka kumtawala mtu ucitumie nguvu athiri kwanza akili yake ukifanikiwa hlo utamtawala unavyotaka na ndicho wanachofanya
 
Kweli Mkuu, ila watu hawasomi kwasababu wasakuwa controled mind kuna kitabu kinaitwa "the biggest secret in the world " jamaa wanaainisha mipango yao wanasema uktaka kumtawala mtu ucitumie nguvu athiri kwanza akili yake ukifanikiwa hlo utamtawala unavyotaka na ndicho wanachofanya
Ogopa Tv, ogopa mitandao ya kijamii. Penda kisichopendwa na wengi utasalimika.
 
Dah! haya mambo ni kama uwepo wa uchawi, yaani ukitaka kuyaprove kwa macho utasubiri miaka 100, yako behind the scene. Ila kuna watu kwenye huu ulimwengu wako gifted sana, huwa wana expose vitu bila kujali usalama wa maisha yao. Nawashauri watanzania wenzangu tusome, tusiishi ishi tu kama kuku.
 
Back
Top Bottom