Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Kuna kitabu kinawaelezea hawa jamaa nikipata time ntakiweka hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pope alishakiri kwamba yeye ni freemasonsMkuu hapo kwenye column ya 'Religious' umeitaja VATICAN? Au ni macho yangu!
Mkuu ckupigi ila nsaidie kupata uthibitisho na mm nkarejee. Ili hata na mm cku nkimueleza mtu hawa nmepe uthibitisho. Tafadhali mkuuPope alishakiri kwamba yeye ni freemasons
They are sacrificed by their own systemNa mara waingiapo uislam hufariki muda si mrefu.
Na bila ya kuwa kwenye hilo kundi huwezi kupewa uongozi, Kwao viongozi hujengwa na kusimikwa.Pope alishakiri kwamba yeye ni freemasons
Soma,utajua kila kitu.Mkuu ckupigi ila nsaidie kupata uthibitisho na mm nkarejee. Ili hata na mm cku nkimueleza mtu hawa nmepe uthibitisho. Tafadhali mkuu
Ukiwaambia watu ukweli utabaki kutukanwa, but that is the reality,Na bila ya kuwa kwenye hilo kundi huwezi kupewa uongozi, Kwao viongozi hujengwa na kusimikwa.
Ndo nahtaj hyo reference nikasomeSoma,utajua kila kitu.
Refer My Post above.Ndo nahtaj hyo reference nikasome
Na wewe au mimi kuwa maskini sio bahati mbaya, ni mpango wao wa kuwaongoz majuha kama mimi na wewe. Na wakiona dunia inakwenda vizuri kiuchumu, wanafanya kila wawezalo kuijhairibu na kisha wao kutengeneza tiba mbadala.Kitabu kinaitwa "bloodlines of illuminate" cha fritz ktafutene Google kimeeleza vtu vngi sana kfupi n kwamba dunia yote ipo mkonon mwao ishu za ugaid, vita, maswala ya vatcan, kucontrol uchumi Wa dunia jamaa kla sehemu wmeshika
Kweli Mkuu, ila watu wengi hatusomi kwasababu tushakuwa controled mind kuna kitabu kinaitwa "the biggest secret in the world " jamaa wanaainisha mipango yao wanasema uktaka kumtawala mtu ucitumie nguvu athiri kwanza akili yake ukifanikiwa hlo utamtawala unavyotaka na ndicho wanachofanyaNa wewe au mimi kuwa maskini sio bahati mbaya, ni mpango wao wa kuwaongoz majuha kama mimi na wewe. Na wakiona dunia inakwenda vizuri kiuchumu, wanafanya kila wawezalo kuijhairibu na kisha wao kutengeneza tiba mbadala.
Tatizo ni kuwa mijitu imekuwa mizito kusoma, imeishia ku-whatsapp tu. Ukiiambia kusoma itakwambia nisimulie.
Ogopa Tv, ogopa mitandao ya kijamii. Penda kisichopendwa na wengi utasalimika.Kweli Mkuu, ila watu hawasomi kwasababu wasakuwa controled mind kuna kitabu kinaitwa "the biggest secret in the world " jamaa wanaainisha mipango yao wanasema uktaka kumtawala mtu ucitumie nguvu athiri kwanza akili yake ukifanikiwa hlo utamtawala unavyotaka na ndicho wanachofanya
Pope yupi? Maana Pope siyo mtu binafsi bali ni cheo/taasisi.Pope alishakiri kwamba yeye ni freemasons