Wilfred thomas
Member
- Jun 1, 2016
- 7
- 1
Duuuuu huenda kwelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh kaliId yako hujakamatwa na makachero/majasusi na kuhojiwa???
ooops sorry...ni GODESS wa misri, anaitwa ISIS ...Goddess of 1000 names,...google ,,,asante sanaduh kali
ooops sorry...ni GODESS wa misri, anaitwa ISIS ...Goddess of 1000 names,...google ,,,asante sana
exactly!yeah umenikumbusha ile miungu mitatu ya Misri kule kwenye pyramids za giza!!
😀😀😀😀😀😀😀Si kweli......hv drug cartels wanawezaje kuwa kwenye upuuzi huuu......pathetic
Haaahaaa...[emoji23] [emoji23]Habinder sethi mwaga mchele.
Pole sina uhakika Sana na jambo hili lakini kuna ukweli ndani take.dunia Ni pana dunia inavitu vingi mno kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia wanao fahamu Ni wachache mno kati yangi wabishi.lakini ili akili zetu zisonge mbele tukae kupokea mambo mapya na najua vitu vingi bado hatuvijui dunia iko mbele sisi tupo nyuma.wamareka wenzetu angalau wapo mbele mno sisi bado Sana,hivyo kuhusu aluminata na hawa Freemason Ni walewale tuMkuu habari ya siku?
Mkuu hebu nisaidie kuthibitisha huu uongo maana hii kitu inaniumiza sana kichwa na utakuwa umenisaidia sana mkuu!