Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

ooops sorry...ni GODESS wa misri, anaitwa ISIS ...Goddess of 1000 names,...google ,,,asante sana

yeah umenikumbusha ile miungu mitatu ya Misri kule kwenye pyramids za giza!!
 
Ninyi mnaopinga haya mambo mnadhihirisha ni jinsi gani hamyajui maandiko, Mambo haya yote yameelezwa ktk Kitabu cha Ufunuo wa Yohana - yaani yanayoelezea mwisho wa nyakati
 
Ngoja nifuatilie pengine leo nitayajua ambayo hunitatiza!
 
Mtu kama huyu kaweka na shule afu utegemee akasome elimu dunia?!..

Atakwambia luluhisho madrasa then atataka aajiriwe kwa madra sa take BOT au Nssf
 
Mkuu habari ya siku?

Mkuu hebu nisaidie kuthibitisha huu uongo maana hii kitu inaniumiza sana kichwa na utakuwa umenisaidia sana mkuu!
Pole sina uhakika Sana na jambo hili lakini kuna ukweli ndani take.dunia Ni pana dunia inavitu vingi mno kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia wanao fahamu Ni wachache mno kati yangi wabishi.lakini ili akili zetu zisonge mbele tukae kupokea mambo mapya na najua vitu vingi bado hatuvijui dunia iko mbele sisi tupo nyuma.wamareka wenzetu angalau wapo mbele mno sisi bado Sana,hivyo kuhusu aluminata na hawa Freemason Ni walewale tu
 
Back
Top Bottom