Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii;
✓ Unapofika utapigwa neno
(na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu), wakimaliza mtaambiwa TOA SADAKA. Halafu utaambiwa nunua maji na mafuta (ambavyo vitakugharimu tena kama Shs 20,000/=).
✓ Mkimaliza hatua hiyo, itakuja pesa ya fomu ya KUONANA NA NABII. Hapa strictly kumuona Nabii binafsi ni Shs 500,000/= (LAKI TANO). Ukilia lia na ukifikiriwa chini ya hapo basi utakutana na Wasaidizi wa Nabii Lakini haitapungua Shs 100,000/=
✓ Ukishamuona AU ukisha Waona, na kuulizwa unafanya kazi gani, utaelezewa tatizo lako (mara nyingi utaambiwa umelogwa). Maombi yake utaambiwa Mungu anataka Shs 1,000,000/= Hadi 5,000,000/=. Hapo utatolewa vitu mwilini na bla blaa za maombi kisha utaambiwa uendelee kuhudhuria pale maana tatizo haliwezi kuisha Kwa siku Moja.
Hivi hapa kuna Mungu kweli Wadanganyika wenzangu?
- Huyu anayejiita Nabii kiboko wa wachawi achunguzwe