Hizi ndio gharama za kwenda kuombewa na Nabii mmoja aliyepo Buza

Mungu wa kweli aliyemtuma Yesu duniani hahitaji hata senti yako. Anahitaji moyo tu. Hata Ibrahim alipewa mwanakondoo badala ya mwanae. Mungu aliangalia moyo tu!
 
Mkiambiwa mumtafute Mungu wa kweli hamtaki ngoja waganga wavaa suti wapige pesa zenu mpka mtoke vumbi makalioni
 
Huyo jamaa ni tapeli wa kutupa

Huyo jamaa amemtapeli mama yangu mzazi Tshs 100,000 ambayo angeweza hata kununua chakula kikamsogeza kwa siku kadhaa.

Wanaopigwa pale wengi ni wanawake

Mwanzoni bimkubwa kabla hajaenda nilimpa tahadhari kwamba awe makini mana mjini siku hizi matapeli ni wengi ambao wanajificha kwenye kimvuli cha dini kwa kujiita manabii.

Kwakua bimkubwa alishaweka imani nae nikamwambia haya nenda kajionee na kweli alivyorudi ndo akagundua kwamba katapeliwa mana aliambiwa ili atibiwe miguu yake anatakiwa apeleke Tshs 3,000,000 na ukizingatia yeye bimkubwa ni mstaafu.

Huyo jamaa ni tapeli haswa.
 
Nilipoliziwa Moshi tu siku 3 inabangua kichwa km kuna kuni moto nimewekewa utosini Bangi sio mchezo
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Mwanangu una kichwa kibovu, Mimi nimeanza kuvuta bangi nipo darasa la 6. Mpaka Sasa navuta bangi yenye ubora na kiwango ya Hali ya juu, shs 15000 gram 1 . Pengine wewe ulipania ndiyo maana imekukataa ukivuta bangi unatakiwa u relax.
 
Sivuti nimekwambia nilipoliziwa Moshi na wanaovuta Mimi sio mvutaji km nyinyi mmeanza kuvuta mpo tumboni mwa Mama zenu kwa hio Bangi IPO kwenye damu zenu Mimi Mama yangu hakua anavuta Bangi nilipokua kwenye tumbo lake kwa hio lazima kichwa changu kiwe tofauti na vichwa vyenu
 
Na kuna watu wanamuamini huyo mwizi huwaambii kitu, na wadada wengi wanakazwa na huyo jamaa
 
Simjui siwezi comment chochote.

πŸ˜…
Ila km ndo mi nikienda baada ya hilo neno naondoka sitoki ht 100
 
Acha yapigwe hayana akili.
 
hivi hawa watu wakidai tu wao ni manabii na vimiujiza kidogo tunawaamini
wote ni watafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…