Hizi ndio gharama za kwenda kuombewa na Nabii mmoja aliyepo Buza

Mm namuamin
 
Wakati huo akiwa na mtunza fedha bwana Yuda eskariote,nguvu ya pesa achana nayo wala usiishushe hadhi,chamsingi tusake pesa.
Acha wapigwe tu, Yesu alisema mmepewa bure toeni bure
 
Wakati huo akiwa na mtunza fedha bwana Yuda eskariote,nguvu ya pesa achana nayo wala usiishushe hadhi,chamsingi tusake pesa.
Mathayo 10:8

[8]Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.

Hakuna mahali Yesu au wanafunzi wake waliponya watu na kuchukua pesa, sio Yesu tu hata manabii hawakuchukua pesa kwa watu baada ya kuwahudumia

Hawa wengine wote ni wapigaji tu
 
Huyu nabii feki ni mshenzi, tena ni mwizi.. Anastahili kukamatwa na kufungwa kwa utapeli wake.. Hakuna nabii hapo..
 
Kwaio ukitoa hio 1M, yeye ana tumia njia gani kuifikisha kwa MUNGU?
 
Uzuri wa bahati maandiko matakatifu yamesha tuonya kuhusu manabii wa uongo
 
Ugumu wa maisha unawachanganya watu akili, wanajikuta wanaamini mpaka vitu visivyo ingia akilini kirahisi
 
Yani kama Mimi hapa Sijapata kazi Mwaka wa 3 nahisi kulogwa na nikifika pale napigwa 100k yangu.

Ila ukijua sio ww tu umetesek kumbe hata waliopata sasa waliteseka Basi utasubiri mda wako ufike.

Jinyenyekeze chini ya mkono ulio hodari.....
 
Sasa hapo si bora huyo mtu aje nimpe connection ya babu wa kwediboma..?haha
 

Wajinga ndiyo waliwao...Acha wapunwe mapene.
 
Hii inaonesha kwamba kwa ground pengine watu wana matatizo makubwa ambayo YAMEWAFANYA WASIWE NA CHOICE.
Kuna watu wanateseka hii dunia acha kabisa....wanajaribu kila njia iwezekanayo...wewe kama upo salama mshukuru sana MUNGU
 
Ni mjasiria Mali muachane wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…