Hizi Ndio ID Za Ajabu Sana Humu JF

ngoja nifuatilie ila ID ya moderator ndio Kali maana inakupa ban
 
Reactions: SDG
Uje ulete na uzi wa hizi IDs zenye Avatars za ajabu ajabu...

Kuna ka jamaa kale kila uzi ka kwanza kureply kanaitwa JOSEVEREST kana avatar ya dogo mmoja ana sura kama kabemendwa vile hahahaaaaa... Huwa nacheka sana kila nikikaona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…