Katika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili
7.Askari mwoga
8.mkwepa kodi
n.k
hizi ni baadhi ya ID za humu ndani
Je wewe ni ID gani inakuacha hoi humu ndani....!!!
Tell us....