Hizi Ndio ID Za Ajabu Sana Humu JF

Hizi Ndio ID Za Ajabu Sana Humu JF

Mnavyojipa majina basi tungekuwa na mainjinia, madaktari na wanasayansi mahiri Dunia ingetuogopa, maana mnatumia akili nyingi kufikiri kutafuta jina
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Katika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili
7.Askari mwoga
8.mkwepa kodi
n.k
hizi ni baadhi ya ID za humu ndani
Je wewe ni ID gani inakuacha hoi humu ndani....!!!
Tell us....
Laki si pesa, ikisimama panda na anitombe Mushi
 
Back
Top Bottom