Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nawew mkuu id yako ya Galapagosi ni nomaHahaha ngoja nivute kiti kwenye huu uzi
Sijui hawa watu huwa wanawaza nini.
Huyu atakuwa anatoka zambiaKuna huyu jamaa anajiita MUSENGE MUKUMA
[emoji15]Kuna huyu jamaa anajiita MUSENGE MUKUMA
Hahahahahahaaa Naaaam mkuu wa kaziKuna Mkuu anaitwa Naantombe Mushi
Tunakodisha bunduki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] sijui aliwaza nini kujipa hiyo id.Kuna Mkuu anaitwa Naantombe Mushi