namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,433
- 942
KipumbwiHii id niliiuliza kama ni kei ama me,ikanishushia mitusi ya kichaga,nikaiambia mwenyewe bwana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KipumbwiHii id niliiuliza kama ni kei ama me,ikanishushia mitusi ya kichaga,nikaiambia mwenyewe bwana!
Hahahaha samahan mkuuMKUU lothrito nitake radhi yakhe!!!!!
wenyeji wa Tanga na waliosoma sana historia huenda wanajua kuhusu Kipumbwi,ila ni sehemu murua sana!!Hahahaha samahan mkuu
Daaah mimi sikujua hilowenyeji wa Tanga na waliosoma sana historia huenda wanajua kuhusu Kipumbwi,ila ni sehemu murua sana!!
Iwapo hilo ni jina eti ni-left Jf, ili nimwachie nani aendelee kufurahi?Muchepuko wa mukulu
Hata wewe una jina la ajabu la kujua wewe tu na io avatar.....Laki si pesa, ikisimama panda na anitombe Mushi
Uje ulete na uzi wa hizi IDs zenye Avatars za ajabu ajabu...Katika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili
7.Askari mwoga
8.mkwepa kodi
n.k
hizi ni baadhi ya ID za humu ndani
Je wewe ni ID gani inakuacha hoi humu ndani....!!!
Avatar
Tell us....