Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
I like ECONOMICS
 
Acheni kufikiri kwa matumbo yenu,you should be critical thinkers,na sio kuleta hoja zisizo na mashiko.
 
acha uzushi,huo ni uongo.

xo, how now comes shule za ilboru na mzumbe wako chini ya walimu tena wa stashahada, na wengi mliopiga engineering baada ya kukosa vya kufanya na taaluma zenu mnahangaika kuomba kufundisha, mtakufaga na taaluma zenye wachina bongo
 

pumba tu hujaongea ki2 hapa mdogo wangu zaidi ya kupoteza mda wako 2!
 
Jaribu bac kuwa muungwana ndugu! Ninachoamin mim kila koz ni muhim ila wa2 wanazipenda hzo sana zilizoorodheshwa.. Ukimwulza bwana shamba atasema koz yake ndo bora zaid... Docta nae atajcf... Engineer pia atasema hakuna bora zaid yake! Lakn ukwel unabak palepale koz zote ni muhmu kwa sabab znategemeana tu.
 
Na ndio mana waalimu nchi za wenzetu wanatunzwa vizuri kuanzia chekechea hadi chuo kikuu... education is the mama of alll
 
Watu wakisha pevuka kiakili wanasahau walikotoka bila mwalimu wa chekechea kukujengea msingi mzuri usingefika hapo acheni dharau mtakuwa na laana kichwani "MWALIMU" na sisitiza ndo kila kitu wanatofautiana ngazi.
mbona wengine hatuijui hata hiyo chekechea. msingi wangu haupo kwenye kumbukumbu ya shule kwenye swala la kusoma,nilielekezwa na dada yangu nikajua kusoma,she was not a teacher but just a primary student by then.
 
Na ndio mana waalimu nchi za wenzetu wanatunzwa vizuri kuanzia chekechea hadi chuo kikuu... education is the mama of alll
no thank you,first people to teach science were not professional teachers,first people to teach were not professional teachers,and first people who started education were not teachers,ukweli ni kwamba innovations and inventions came first ila ilipogundulika kuwa knowledge inaweza kupandikizwa kwa wengine hata kwa asilimia fulani ndio wakaona umuhimu wa kuipandikiza knowledge maana mwanzo ilikuwa kila anaetaka kuwa na maarifa lazima atafiti na kufanya ugunduzi mwenyewe,narudia tena kuwa umhimu wa elimu hauwezi kushinda mambo ya kisansi yatokanayo na tafiti ambapo baada ya ugunduzi ndio mwalimu anaelekezwa na waliofanya utafiti ili akaelekeze wanafunzi
 
mbona wengine hatuijui hata hiyo chekechea. msingi wangu haupo kwenye kumbukumbu ya shule kwenye swala la kusoma,nilielekezwa na dada yangu nikajua kusoma,she was not a teacher but just a primary student by then.

Mshukuru dada yako huyo ndo mwalim wako wa awali. Sisi binadamu wepesi wa kusahau kama maisha yetu kungekuwa na uwezo tukapewa movie au kukumbushwa jinsi tulivosoma(pitia) hizi dharau zisingekuwepo mimi sio mwalimu ila nawachukia wenye kuwadharau ikumbukwe tunaishi kwa kutegemeana(Eco-system) taaluma zote ni muhimu kwakuwa mtu haweizi kuwa nazo zote.
 
Kemia ndio nam​ba moja
sio kweli engineering iliibuka mwanzo na ndio ilisaidian kuibuka kwa sayansi ya kemia,kasome upya historia ya industrial revolution duniani
 
hapa hatudharau ila tunasema ukweli sema watu hasa walimu wanaona tunawaonea,mimi mwenyewe nimewahi kufundisha tena nilionekana kuwa na uwezo mkubwa kuliko hata walimu waliosomea,lakini pamoja na kwamba kila kitu ni muhimu lakini lazima umuhimu unatofautiana sana na bado natetea kuwa all engineering courses ni vitu muhimu zaidi duniani kuliko kitu kingine maana mabadiliko yote na ubora wote wa maisha ya leo umeletwa na engineering courses,leo hata watu ambao hawakwenda shule wananufaika na matunda ya elimu ya sayansi kwenye nyanja ya uinjinia,lakini watu hao hawajui lolote kuhusu kusoma na kuandika,leo mfano mama yangu ambaye hakwenda shule hanufaiki lolote na mwalimu unaemsema tena wa chekechea ama wa primary lakini maisha yake yamerahisishwa sana na course za uinjinia
 
sio kweli engineering iliibuka mwanzo na ndio ilisaidian kuibuka kwa sayansi ya kemia,kasome upya historia ya industrial revolution duniani

KAKA hakuna kitu kisicohusisha kemia katika dunia hii, kila kitu kina elements, NAMAANISHA KILA KITU, hizo indusrty unazozisema zinatengeneza nini? hicho kinachotenegezwa lazima kitakuwa na Kemia ndani yake, KEMIA NDIO BABA WA KILA KITU
 

EDUCATION ndio UALIMU? Sio kozi,ni WITO

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…