Wee taahira unaleta matusi ya nini nani kakwambia uchukue EDUCATION
Inaonekana unafikiri kwa kutumia makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee taahira unaleta matusi ya nini nani kakwambia uchukue EDUCATION
ahahahaaaaaaaaa kwa nini mkuu?Mtoa mada ni msengenyaji.
Ww unafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwaHahahah shahada mbili za EDUCATION ni sawa DIPLOMA ya MINING ENGINEERING
I like ECONOMICSWakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
shahada mbili za ualimu ni sawa na form 6 ya pale ilboru au mzumbe secondary.
acha uzushi,huo ni uongo.
Wee taahira unaleta matusi ya nini nani kakwambia uchukue EDUCATION
Nakubaliana na wewe ingawa kuna wengine wanataka EDUCATION nayo iwemo. Kiukweli education haiwezi kuwa muhimu kuliko engineering, law,medicine etc.
Asilimia kubwa ya wanaohitimu EDUCATION wanakuwa walimu wa olevel na Alevel, kazi ya hawa walimu ni kuwafundisha wanafunzi ili wafaulu, mhitimu yoyote wa olevel au Alevel anakuwa hana profession yoyote kwa hiyo ni vigumu sana kwa mhitimu huyu kuweza kutumika katika sector yoyote na akaweza kutatua matatizo yanayo hitaji professionalism ili yatatuliwe, na hapa umuhimu ndipo unapokuja!
Ili utatue matatizo makubwa yanayotokea katika jamii na duniani kwa ujumla lazima uwe professional,mfano jamii inahitaji isambaziwe maji kutoka ziwani ,mtu wa kwanza kusema inawezekana au haiwezekani ni engineer .Jamii inaumwa, atakayesema tiba ipo au haipo ni doctor. Hawa wote engineers na doctors wanapatikana kwa kufundishwa na engineers na doctors wenzao.
mbona wengine hatuijui hata hiyo chekechea. msingi wangu haupo kwenye kumbukumbu ya shule kwenye swala la kusoma,nilielekezwa na dada yangu nikajua kusoma,she was not a teacher but just a primary student by then.Watu wakisha pevuka kiakili wanasahau walikotoka bila mwalimu wa chekechea kukujengea msingi mzuri usingefika hapo acheni dharau mtakuwa na laana kichwani "MWALIMU" na sisitiza ndo kila kitu wanatofautiana ngazi.
no thank you,first people to teach science were not professional teachers,first people to teach were not professional teachers,and first people who started education were not teachers,ukweli ni kwamba innovations and inventions came first ila ilipogundulika kuwa knowledge inaweza kupandikizwa kwa wengine hata kwa asilimia fulani ndio wakaona umuhimu wa kuipandikiza knowledge maana mwanzo ilikuwa kila anaetaka kuwa na maarifa lazima atafiti na kufanya ugunduzi mwenyewe,narudia tena kuwa umhimu wa elimu hauwezi kushinda mambo ya kisansi yatokanayo na tafiti ambapo baada ya ugunduzi ndio mwalimu anaelekezwa na waliofanya utafiti ili akaelekeze wanafunziNa ndio mana waalimu nchi za wenzetu wanatunzwa vizuri kuanzia chekechea hadi chuo kikuu... education is the mama of alll
mbona wengine hatuijui hata hiyo chekechea. msingi wangu haupo kwenye kumbukumbu ya shule kwenye swala la kusoma,nilielekezwa na dada yangu nikajua kusoma,she was not a teacher but just a primary student by then.
sio kweli engineering iliibuka mwanzo na ndio ilisaidian kuibuka kwa sayansi ya kemia,kasome upya historia ya industrial revolution dunianiKemia ndio nam​ba moja
hapa hatudharau ila tunasema ukweli sema watu hasa walimu wanaona tunawaonea,mimi mwenyewe nimewahi kufundisha tena nilionekana kuwa na uwezo mkubwa kuliko hata walimu waliosomea,lakini pamoja na kwamba kila kitu ni muhimu lakini lazima umuhimu unatofautiana sana na bado natetea kuwa all engineering courses ni vitu muhimu zaidi duniani kuliko kitu kingine maana mabadiliko yote na ubora wote wa maisha ya leo umeletwa na engineering courses,leo hata watu ambao hawakwenda shule wananufaika na matunda ya elimu ya sayansi kwenye nyanja ya uinjinia,lakini watu hao hawajui lolote kuhusu kusoma na kuandika,leo mfano mama yangu ambaye hakwenda shule hanufaiki lolote na mwalimu unaemsema tena wa chekechea ama wa primary lakini maisha yake yamerahisishwa sana na course za uinjiniaMshukuru dada yako huyo ndo mwalim wako wa awali. Sisi binadamu wepesi wa kusahau kama maisha yetu kungekuwa na uwezo tukapewa movie au kukumbushwa jinsi tulivosoma(pitia) hizi dharau zisingekuwepo mimi sio mwalimu ila nawachukia wenye kuwadharau ikumbukwe tunaishi kwa kutegemeana(Eco-system) taaluma zote ni muhimu kwakuwa mtu haweizi kuwa nazo zote.
sio kweli engineering iliibuka mwanzo na ndio ilisaidian kuibuka kwa sayansi ya kemia,kasome upya historia ya industrial revolution duniani
Hivi una akili kweli wewe? hakuna chochote hapo bila Education.Hupati nesi bila mwalimu, daktar bila mwalimu, mhandisi bila mwalimu.Futa au ongeza education kwenye huo uzi vingnevyo nawambia walimu kuwa hawana umuhimu mashuleni, hivyo wagome mara moja.