VIP kuhusu agriculture?Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
Hii ni kwa mujibu wa akili zako mwenyewe au ni kwa mujibu wa nini?Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
Jeshi ni taaluma eeeh!!!Jeshi vipi?
Bila shaka utakuwa uko form two, na mimi nilivyokuwa form two nilikuwa na mawazo kama haya.Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni. 1.EDUCATION 2.MEDICINE 3.ENGINEERING 4.LAW 5.NURSING 6.ECONOMICS 7.ACCOUNTS 8.VETERNARY MEDICINE 9.ARCHITECTURE
engineering is the first amazing thing in this world and it has transformed everything and engineering came first before this education we talk of ,engineering came under innovative ideas from uneducated people to particular innovations,hata kama walifundishwa kusoma na kuandika
kabla mtu hajafanya innovation yoyote lazima awe na knowledge fulani kuhusu hicho anachotaka kukifanya.
Kama sijakosea knowledge inaweza ikawa gained through FORMAL, INFORMAL au NON FORMAL EDUCATION.
Nadhani education comes first.
mbona nyie walimu mnaabisha hata kazi hiyo kama ndo hamuelewi kiasi hiki,ama ni wale wa voda fasta,mada haiongelei upatikanaji wa ajira bali inaongelea umuhimu wa vitivo mbalimbali katika jamii na dunia,je ipi ni muhimu?hata stive Jobs hakuwa na kigezo cha kuajiliwa lakini leo mamilioni ya watu duniani ukiwemo wewe unafurahia ugunduzi wake chini ya sayansi ya computer,so angalia umuhimu kwa jamii na michango chanya kwa jamii kwa kozi husika kama hawa ndio walimu wenyewe bora wanafunzi waendelee kujisomea wenyewe maana hawapati vitu vya maana sasa kama mwalimu haelewi hata hoja ya mada ingekuwa swali si ushawapeleka chaka wanafunzi
watu wajinga sana aisee sijui hawana uwezo wa kuchuja mambo! Au ni ufinyu wa mawazo ! Au elimu ni ndogo hata hawaeleweki mh taifa hili lina kazi sana aisee kwa jamii ya watu kama perry!!! Hakika taifa lipo hatarini.. Yaani hajui hata huyo engeneer anafundishwa na mwalimu,nurse anafundishwa na mwalimu,accontant anamtegemea mwalimu,au hata maana ya mwalimu hawajui???? yaani kozi zote hapo muhusika mkuu ni mwalimu sijui wanafikiria kwa kutumia minduku!?
Mtoa mada mvivu wa kufikiri kila course inatetegemea mwenzake so think big.
Mimi namuheshimu sana Mwalimu wangu wa shule ya msingi aliyenifundisha kusoma,kuandika,kuhesabu na pia kunifundisha masomo ambayo yamenijenga mpaka leo mfano,sayansi,maarifa ya jamii,hesabu,kiingereza
pamoja na kila kozi inamtegemea mwenzake lakini education ndio inayo tegemewa na zooote hapo.
Degree ya EDUCATION siiheshimu mimi namuheshimu sana mwalimu wangu wa shule ya msingi tu!! sasa eti BAED,BED hata mimi naweza kufundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION
Unafikiri kwa kutumia nini?
EDUCATION ni ya muhimu sana kwa level ya CERTIFICATE ambao ndio walimu wa shule za msingi ambao huwatengeneza watoto kwenye misingi bora ya taaluma !! DEGREE ya EDUCATION sio ya muhimu kabisa kama ni kufundisha masomo ya HISTORY,ENGLISH,GEOGRAPHY hata mimi nafundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION! Masomo kama PHYSICS,BIOLOGY,CHEMISTRY,MATHS mtu wa Engineering na MEDICINE anayafundisha vizuri sanaaa japo hana degree ya EDUCATION ! Haya masomo kama COMMERCE,BOOK-KEEPING,ACCOUNTS,ECONOMICS mtu aliyesoma DEGREE ya ACCOUNTING anayafundisha vizuri tena hata kuzidi mwenye degree ya EDUCATION