Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
VIP kuhusu agriculture?
 
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
Hii ni kwa mujibu wa akili zako mwenyewe au ni kwa mujibu wa nini?
 
Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!
Bila shaka utakuwa uko form two, na mimi nilivyokuwa form two nilikuwa na mawazo kama haya.
 
quote_icon.png
By Perry
Kweli kabisa,sio unakuta libaba lizima limekomaa eti linasoma sociology,community development au ualimu,ujinga mtupu!

kaka huyo perry ali post kauli ya dharau nilicho kisema nikuhusiana na post ya perry,itazame vzur utaona inamapungufu

Limama lizima linasoma Nursing!! Engineering nk..
 
engineering is the first amazing thing in this world and it has transformed everything and engineering came first before this education we talk of ,engineering came under innovative ideas from uneducated people to particular innovations,hata kama walifundishwa kusoma na kuandika

kabla mtu hajafanya innovation yoyote lazima awe na knowledge fulani kuhusu hicho anachotaka kukifanya.
Kama sijakosea knowledge inaweza ikawa gained through FORMAL, INFORMAL au NON FORMAL EDUCATION.

Nadhani education comes first.
 
Degree ya EDUCATION siiheshimu mimi namuheshimu sana mwalimu wangu wa shule ya msingi tu!! sasa eti BAED,BED hata mimi naweza kufundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION
 
watu wajinga sana aisee sijui hawana uwezo wa kuchuja mambo! Au ni ufinyu wa mawazo ! Au elimu ni ndogo hata hawaeleweki mh taifa hili lina kazi sana aisee kwa jamii ya watu kama perry!!! Hakika taifa lipo hatarini.. Yaani hajui hata huyo engeneer anafundishwa na mwalimu,nurse anafundishwa na mwalimu,accontant anamtegemea mwalimu,au hata maana ya mwalimu hawajui???? yaani kozi zote hapo muhusika mkuu ni mwalimu sijui wanafikiria kwa kutumia minduku!?
 
mbona nyie walimu mnaabisha hata kazi hiyo kama ndo hamuelewi kiasi hiki,ama ni wale wa voda fasta,mada haiongelei upatikanaji wa ajira bali inaongelea umuhimu wa vitivo mbalimbali katika jamii na dunia,je ipi ni muhimu?hata stive Jobs hakuwa na kigezo cha kuajiliwa lakini leo mamilioni ya watu duniani ukiwemo wewe unafurahia ugunduzi wake chini ya sayansi ya computer,so angalia umuhimu kwa jamii na michango chanya kwa jamii kwa kozi husika kama hawa ndio walimu wenyewe bora wanafunzi waendelee kujisomea wenyewe maana hawapati vitu vya maana sasa kama mwalimu haelewi hata hoja ya mada ingekuwa swali si ushawapeleka chaka wanafunzi

wote mnaonekana wajinga sababu kozi zote hizo zinamuhitaji muelekezaji ambaye ni teacher.tumieni akili basi msiwe na mawazo kama ya ccm,hakuna mwalimu hakuna engeneer,hakuna mwalimu hakuna architecture,hakuna mwalimu hakuna doctor,hakuna mwalimu hakuna mhasibu, nao hao wote ni zao la mwalimu,tatizo lenu vijana hamnaga deep thinking mnawaza mawazo mafupi mafupi kama mkia wa sungura.naomba otokee mjinga yeyote abishie hoja yangu hapo.
 
watu wajinga sana aisee sijui hawana uwezo wa kuchuja mambo! Au ni ufinyu wa mawazo ! Au elimu ni ndogo hata hawaeleweki mh taifa hili lina kazi sana aisee kwa jamii ya watu kama perry!!! Hakika taifa lipo hatarini.. Yaani hajui hata huyo engeneer anafundishwa na mwalimu,nurse anafundishwa na mwalimu,accontant anamtegemea mwalimu,au hata maana ya mwalimu hawajui???? yaani kozi zote hapo muhusika mkuu ni mwalimu sijui wanafikiria kwa kutumia minduku!?

Mimi namuheshimu sana Mwalimu wangu wa shule ya msingi aliyenifundisha kusoma,kuandika,kuhesabu na pia kunifundisha masomo ambayo yamenijenga mpaka leo mfano,sayansi,maarifa ya jamii,hesabu,kiingereza
 
Mtoa mada mvivu wa kufikiri kila course inatetegemea mwenzake so think big.

pamoja na kila kozi inamtegemea mwenzake lakini education ndio inayo tegemewa na zooote hapo.
 
Mimi namuheshimu sana Mwalimu wangu wa shule ya msingi aliyenifundisha kusoma,kuandika,kuhesabu na pia kunifundisha masomo ambayo yamenijenga mpaka leo mfano,sayansi,maarifa ya jamii,hesabu,kiingereza

well said mkuu ni wenye mawazo mapana tuuuu! Wanaweza kuliona hili lakini sio mtu kama perry!! Jeuri yote aliyo nayo kukaa hapa na kupost ushuzi wake imetoka kwa huyo huyo mwalimu.huyu dogo lazima atakuwa form two ndio mana hata akili yake haijakomaa.
 
pamoja na kila kozi inamtegemea mwenzake lakini education ndio inayo tegemewa na zooote hapo.

EDUCATION ni ya muhimu sana kwa level ya CERTIFICATE ambao ndio walimu wa shule za msingi ambao huwatengeneza watoto kwenye misingi bora ya taaluma !! DEGREE ya EDUCATION sio ya muhimu kabisa kama ni kufundisha masomo ya HISTORY,ENGLISH,GEOGRAPHY hata mimi nafundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION! Masomo kama PHYSICS,BIOLOGY,CHEMISTRY,MATHS mtu wa Engineering na MEDICINE anayafundisha vizuri sanaaa japo hana degree ya EDUCATION ! Haya masomo kama COMMERCE,BOOK-KEEPING,ACCOUNTS,ECONOMICS mtu aliyesoma DEGREE ya ACCOUNTING anayafundisha vizuri tena hata kuzidi mwenye degree ya EDUCATION
 
Degree ya EDUCATION siiheshimu mimi namuheshimu sana mwalimu wangu wa shule ya msingi tu!! sasa eti BAED,BED hata mimi naweza kufundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION

ni kweli mwl wa shule wa shle ya msingi amefanya kazi kubwa sana lakini pia rudisha nyuma akili yako ujikumbuke ulipo kuwa secondary kuanzia form one naamin pia utauona umuhimu wa walimu wote tu ,sababu hukujifunza mwenyewe hadi hapo ulipo fika.lakini pia swala la wewe kuweza kufundisha nu uongo usidhani ufundishaji ni kupiga tu kelele ubaoni lazima uwe na teaching skills ambazo zinafundishwa vyuo vya ualimu na nina fikiri diploma ndio wanaandaliwa vyema zaidi kwa ufundishaji bora.ungekuwa umewahi kupita chuo chochote cha teaching ungekielewa ninacho maanisha,.kuna mambo mengi ambayo mwl anatakiwa kufanya awapo darasani ingawa si wote wanao zitumia skills hizo.
 
EDUCATION ni ya muhimu sana kwa level ya CERTIFICATE ambao ndio walimu wa shule za msingi ambao huwatengeneza watoto kwenye misingi bora ya taaluma !! DEGREE ya EDUCATION sio ya muhimu kabisa kama ni kufundisha masomo ya HISTORY,ENGLISH,GEOGRAPHY hata mimi nafundisha japo sijasoma degree ya EDUCATION! Masomo kama PHYSICS,BIOLOGY,CHEMISTRY,MATHS mtu wa Engineering na MEDICINE anayafundisha vizuri sanaaa japo hana degree ya EDUCATION ! Haya masomo kama COMMERCE,BOOK-KEEPING,ACCOUNTS,ECONOMICS mtu aliyesoma DEGREE ya ACCOUNTING anayafundisha vizuri tena hata kuzidi mwenye degree ya EDUCATION

Nakuunga mkono mkuu mpigamsuli
 
anayosema PERRY ni kweli, me mwenyewe huwa najiuliza kweli mtoto wa kiume kuchukua hkl, sijui na h kunani hizo nyingine! yani wanashindwa hata na dada zetu wanaochukua medicine! tena me naona hata hiyo law wamefanya makosa kuipa nafasi ya 3. ya tatu ilitakiwa kuwepo veternary medicine.
 
Back
Top Bottom