Kwenda kununua madini Congo - Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi, watu wengi maeneo hayo ni masikini kwa sababu hawana njia bora za kuuza au kusindika madini hayo. Mara nyingi huuza kwa bei ya chini sana kwasababu ya ukosefu wa miundombinu, soko na amani. kwenda utaenda vizuri tu lakini kutoka ni shughuli pevu sanaaaa, askari wa Congo ni katili sana wakihisi unatorosha madini kupigwa shaba ni jambo la kawaida.
Kulima bangi - heka ya bangi unaweza kupata faida milioni 17, ulimaji wa bangi ni cheap sana huwa inajiotea tu na wengi wanalimia maporini sio kwenye mashamba yao, ni kusubiri ikomae na kuilinda. Shida ya hii biashara ukikamatwa na gunia zako ama ukaingia mtego wa wapelelezi wanaojifanya wateja kesi yake si ya kitoto, Miaka 20 hadi 30 jela.
Kubebeshwa unga - Hii biashara ipo kwa usiri mkubwa sana, Tanzania ni lango linalotumika sana kuvusha madawa kuyapeleka South, msione kimya, System imetengenezwa iwe hivyo, imetia viraka kwenye matundu yaliyoonekana enzi za 2010s. Tatizo la biashara hii sikuhizi imekuwa na umafia, aliekutuma anaweza kuingia tamaa asikulipe anawaambia wenzake "ukishaunya" mzigo wakumalize.