Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
unaeza mfurusha na akaishia kwenye magofu/pagale/liWatoto huwa wana akili za kumjaribu mtu na uvivu.Usimchekee mtoto asiyetaka kuamka asubuhi kwenda shule.Mfurushe aende shule haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaeza mfurusha na akaishia kwenye magofu/pagale/liWatoto huwa wana akili za kumjaribu mtu na uvivu.Usimchekee mtoto asiyetaka kuamka asubuhi kwenda shule.Mfurushe aende shule haraka.
HatariHuko hawaachi!
Kuna mkoa robo ya walioanza form One wanaacha by April; kifika Dec. nusu yao wanazuzrura mtaani.
Kuna sehemu nilidikia Rukwa 30% ya waliosajiliwa darsa la 1 mwaka jana (2023) wameshaacha
Hiyo namba 3 wazazi wanakataza watoto wao wasisome shule ila waende madrasat tu kukariri vitu visivyo na manufaa maishani mwaoWakuu,
Hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO limetoa ripoti mpya inayoelezea kwa undani idadi ya watoto ambao wanastahili kuwepo shuleni lakini kwa sababu tofauti tofauti hawapo shuleni.
Soma pia: Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)
Kulingana na ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), watoto na vijana milioni 244 wenye umri wa miaka 6 hadi 18 duniani kote bado hawajapata elimu, na takriban shule 14,300 zimefungwa katika nchi 24 za Afrika kufikia Juni 2024 kulingana na Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC).
Ripoti hiyo imezitaja nchi kama Burkina Faso, the Democratic Republic of Congo, Cameroon, Chad, Nigeria na Niger kama nchi zinaozoogoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule huku umasikini ukitajwa kuwa ni sababu kubwa inayopelekea watoto kukosa kwenda shule.
And yes Tanzania pia ipo.
Kulingana na ripoti ya UNESCO hizi ndio nchi zinazoongoza kwa kuwa na watoto wengi wasioenda shule Afrika:
Source: Business Insider Africa, Unesco
- Nigeria – 18.18M
- Ethiopia – 11.1M
- Tanzania – 6.42M
- DR Congo – 6.17M
- Sudan – 5.6M
- Niger – 5.5M
- Uganda – 4.9M
- Angola – 3.9M
- Burkina Faso – 3.4M
- Mali – 3.1M
Kwa hiyo hapa Tanzania kuna watoto Milioni 6 hwaendi shule, hawa watoto huwa wanafanya nini huko mitaani kama hawaendi shule? Elimu si bure?
Tanzania watoto wadogo wote wako bize na usanii kukata mauno
Huko ndiko kwenye ndoto zao
Ova
Manesi waliomaliza kusoma miaka kumi iliyopita hawajapata kazi wewe ukienda kusoma leo nani atakupa kazi ?Acha kusikiliza motivational speakers mkuu.
Hawa madaktari mnaowaona wangefundishwa lugha tu watu wangetibiwa vipi? Manesi? Marubani?
Mfuatilie kwa akili na umfanye aipende shule.Usingizi usimponze maishani.unaeza mfurusha na akaishia kwenye magofu/pagale/li
Watubebea vitu kupeleka kwenye magari dah ila inhumane maana ndio taifa la kesho hili Mungu waasaidieDsm pekee ukienda kwenye Makutano ya Barabara Idadi ya Watoto Omba Omba, Waosha Vioo, Mateja nk ni kubwa Mnoo.
Ukizunguka kwenye fukwe za Bahari ya Hindi tokea Mbweni Mpaka Kigamboni wamejaa. Soko la Samaki Ferry na Masoko ya Kkoo wamejaaa watoto ambao kwa kawaida wanatakiwa wawe shuleni lkn cha qjabu Viongozi wanapita na kuangalia pasipo kuchukua hatua.
Hata huko mwanza auHiyo namba 3 wazazi wanakataza watoto wao wasisome shule ila waende madrasat tu kukariri vitu visivyo na manufaa maishani mwao