Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024)

1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ ($370.5 billion)

2. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ ($278.1 billion)

3. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ($123.3 billion)

5. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ($107.7 billion)

6. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© ($94.9 billion)

7. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ($84.2 billion)

8. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ ($73.9 billion)

9. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ ($64.7 billion)

10. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή ($56 billion)

Sources: CEIC Data, Trading Economics, World Economics.
 
Hakika katika awamu hii ya sita tumeona jinsi mama anavopambana ili nchi isiwe kwenye top 10 ya nchi zenye madeni makubwa.
Shukran ziende kwa mama. πŸ€—
 
Ukubwa kwa figure pekee hauna maana, ukubwa wa figure kulinganisha na uzalishaji ndo una maana.
Bado tupo nyuma, tuendelee kukopa.
Deni lako la m10 crdb unalosota nalo na linakuenyesha huwezi jilinganisha na deni la m100 la Bakhresa analolilipa bila tatizo halafu ukajisifia wewe huna deni kubwa.
 
Hebu tupe top ten ya nchi ambazo zina badilishwa mawaziri marakwamara,zinazoabudu rushwa,wabadhirifu,na upotevu mkubwa wa mali ya umma.
 
Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024)

1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ ($370.5 billion)

2. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ ($278.1 billion)

3. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ($123.3 billion)

5. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ($107.7 billion)

6. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© ($94.9 billion)

7. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ($84.2 billion)

8. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ ($73.9 billion)

9. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ ($64.7 billion)

10. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή ($56 billion)

Sources: CEIC Data, Trading Economics, World Economics.
Duuu hivi Kenya hicho kibunda chote wamepeleka wapi?
 
Deni kumlinganusha na jumla ya park la nchi husika
 
Mo dewji anadaiwa,ana madeni makubwa kuliko mimi,ila Simba wanaenda kuomba hela KWA Mo
 
Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024)

1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ ($370.5 billion)

2. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ ($278.1 billion)

3. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ($123.3 billion)

5. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ($107.7 billion)

6. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© ($94.9 billion)

7. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ($84.2 billion)

8. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ ($73.9 billion)

9. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ ($64.7 billion)

10. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή ($56 billion)

Sources: CEIC Data, Trading Economics, World Economics.

Ungekuwa na Elimu ya Uchumi, ungejua kuwa, Ukubwa wa Deni unalinganishwa na Nguvu ya Uchumi wa Nchi husika ndio ujue kama deni ni Kubwa au ni dogo
Mfano: Mama ntilie mwenye mauzo ya shs 30,000 kwa siku, akiwa na deni la shs milioni tatu, Linaweza kuwa kubwa sana ukilinganisha na mfanya Biashara wa Kariakoo mwenye deni la shs Milioni 100 lakini anamauzo ya kama milioni 2.5 kwa siku
Deni linapimwa kwa uwezo wa kulilipa kulingana na nguvu ya Uchumi

Kwa mfano wangu hapo juu: Usitegemee Deni la Tanzania lilingane na la Afrika ya Kusini au Egypt, wakati Africa kusini/Egypt ni sawa na mfanya biashara wa Kariakoo na Tanzania ni sawa na mama ntilie....
 
Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024)

1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ ($370.5 billion)

2. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ ($278.1 billion)

3. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ($123.3 billion)

5. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ($107.7 billion)

6. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© ($94.9 billion)

7. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ($84.2 billion)

8. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ ($73.9 billion)

9. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ ($64.7 billion)

10. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή ($56 billion)

Sources: CEIC Data, Trading Economics, World Economics.
Mbona hazijapigwa mnada? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom