Hizi ndio njia tano za kusafisha pasi iliyochafuka

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
View attachment 2676602

unasafisha pasi ikiwa na moto mkali

1. Chumvi - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi

2. Chaki - kata kipande, geuza pasi iangalie juu kisha weka kipande, unasafisha kwa kukandamizia chaki kwa kitambaa.

3.majivu ya moto - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi

4. mkaa - kata vipande, mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi

5. panadol - hii ina harufu kali sana ziba pua, ziba pua unaposafisha, geuza pasi iangalie juu kisha weka kipande, kandamizia panadol kwa kitambaa.

Naskia kuna mbinu ya kutumia colgate, mwenye kuijua aelekeze
 
Wewe umetumia mbinu ipi?
 
Mazoezi yote haya Pasi ikiwa ya Baridi au ya Moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…