ili kumwwlewa Joh lazma uwe wa type zake sasa kama we ni type za Best Naso Joh utamwelewa vpWaya ni JIMBO BOVU Sana Pamoja na Kuwa na VIDEO Nzuri Lakini AUDIO Ni MBAYA kweli,Joh Rudi kule kwenye Brand.
Namuelewa sana Joh ila kwa hili tumwambie ukweli,WAYA Ni JIMBO BOVU kabisa.........Mbona COMBO,BRAND,GERE etc hatujasema ni Mbovu? WAYA NI JIMBO BOVU NDUGU,ni KAMA SUMU ya FID Q.ili kumwwlewa Joh lazma uwe wa type zake sasa kama we ni type za Best Naso Joh utamwelewa vp
Acha ushabiki wa kishamba,mimi namfahamu Joh tangu album yake ya kwanza ,hakuna nyimbo mbovu alowahi kuitoa kama WAYAili kumwwlewa Joh lazma uwe wa type zake sasa kama we ni type za Best Naso Joh utamwelewa vp
Na ndio maana tunasema wanabebwa na media,jomba mbona hujui kiswahili?ungekua mbovu usingekua namba 5 kwene Eatv top 10
Plus. Wimbo wa Neyo na Diamond. Mary you.Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
We ni msikilizaji mkuuMkuu wimbo mzuri haihitaji uisikilize mara mbili,tatu,nne,tano.......,wimbo mzuri utaupenda ndani ya dakika moja tu.kana unauelewa wimbo hadi usikilize mala mbili mbili basi wewe hujui muziki mzuri bali unaangalia upepo
Afu jaribu kujifunza namna ya uandishi na utofautishwaji wa silabiNaangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
Hayo mambo yapo darasaniAfu jaribu kujifunza namna ya uandishi na utofautishwaji wa silabi
Imba za kwako na ww ubebweHabari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Hata mm sijawah na sitokaa nizipenda maana sion uzur wakeHizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Mapovu yanakutoka hahahaaaaa aaaaahhhhh atakuwa sallam nn yebaaa mashetan yamepanda hawatawezanakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
Uwezo wake wa kutunga umeishia hapo hata ule wa moyo mashine mashairi mepesi sana ben ni kuimba tu ila utunzi hapana kwakweliMie wimbo WA phone WA benpol sijaupenda!una mashairi mepesi sana!!,,'na maneno common mno!mf.'unachokitafuta utakipata'',,dm ,inbobow(ilivyotamkwa hainogi kabisa'!)yaani hata ukijaribu kuangalia maana haswa ya huu wimbo haiwezi vutia watu wote.
Wimbo mwingine ambao umepewa airtime ya utosha ila mbovu ni Wa joh makini WA waya,give it to me,
Moja ya wimbo wangu nlioukubali kwa 2016 ni WA linah WA malkia wangu WA nguvu
nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
Na za Alikiba zotemtoa mada uko sahihi sana. zooote ulizotaja hakuna nyimbo hapo. ukijumlisha na za dully sykes za hapa karibuni. jumlisha marry you ya dimondi. hovyo kabisaaaa
Mimi nyimbo zangu mbovu ni Yono wa Dully,Marry u-Diamond x Neyo,Weka Muziki-Darasa,Moyo sukuma damu-Dito
Acha mambo ya kitotoNa za Alikiba zote