Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

ili kumwwlewa Joh lazma uwe wa type zake sasa kama we ni type za Best Naso Joh utamwelewa vp
Acha ushabiki wa kishamba,mimi namfahamu Joh tangu album yake ya kwanza ,hakuna nyimbo mbovu alowahi kuitoa kama WAYA
 
ungekua mbovu usingekua namba 5 kwene Eatv top 10
 
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Plus. Wimbo wa Neyo na Diamond. Mary you.
Ni mbaya sana. Unapumulia kiki
 
Mkuu wimbo mzuri haihitaji uisikilize mara mbili,tatu,nne,tano.......,wimbo mzuri utaupenda ndani ya dakika moja tu.kana unauelewa wimbo hadi usikilize mala mbili mbili basi wewe hujui muziki mzuri bali unaangalia upepo
We ni msikilizaji mkuu
Wewe si shabiki mzuri wala mfuatiliaji wa mziki mzuri
Siku ukijua nlichomaanisha basi utapunguza kukurupuka....
 
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Imba za kwako na ww ubebwe
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Hata mm sijawah na sitokaa nizipenda maana sion uzur wake
 
nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
Mapovu yanakutoka hahahaaaaa aaaaahhhhh atakuwa sallam nn yebaaa mashetan yamepanda hawataweza
 
Mie wimbo WA phone WA benpol sijaupenda!una mashairi mepesi sana!!,,'na maneno common mno!mf.'unachokitafuta utakipata'',,dm ,inbobow(ilivyotamkwa hainogi kabisa'!)yaani hata ukijaribu kuangalia maana haswa ya huu wimbo haiwezi vutia watu wote.
Wimbo mwingine ambao umepewa airtime ya utosha ila mbovu ni Wa joh makini WA waya,give it to me,
Moja ya wimbo wangu nlioukubali kwa 2016 ni WA linah WA malkia wangu WA nguvu
Uwezo wake wa kutunga umeishia hapo hata ule wa moyo mashine mashairi mepesi sana ben ni kuimba tu ila utunzi hapana kwakweli
 
nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
 
Attachments

Wabongo kwa kulazimisha mambo.... Kitu usichokipenda ww yule anakipenda iko hivyoo...
 
Back
Top Bottom