Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Ukiitoa moyo mashine apo tupo sawa. Yaani zinavyotukuzwa na kila mtu lakn mimi nimejitahd kuzisikiliza nimeshindwa. Nikahs labda nina chuki sijijui au sijui mzk mzuri wanavyosema wao
 
sasa nyimbo zenyewe huzijui halafu unatuandikia utumbo hapa we vipi, Ngoma ya Joh makini imesimama vizuri tu labda kama ww ni mbana pua, nyimbo ya chege AY hazina tatizo pia hata ya Ray kijuso haina tatizo tena wadada wanaishobokea sana tu
Kwa hiyo kama inashobokewa na wadada ni nzuri?
 
Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa jealous ko kuchwana kwa diamond una enjoy... [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ana enjoy life we fanya yako... Muache jealous...
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Na wala hujaombwa uzipende labda kujipendekeza kwako tuu mpaka unafkia hatua ya kuziandika..... Kumbuka Yule unayempenda ww pia wapo wasio mpenda....
 
Ni kweli inaweza kuwa ni mbovu znabebwa mm na ww hatuzipend lakin ndan ya watu mln 45 wapo wanaozipenda ko chukulia poa tuu... [emoji5]️[emoji5]️
 
Kijuso ni mbaya kuliko zote ila ukifungulia tv or redio lazima ipigwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…