Cristovao abeli
New Member
- Feb 11, 2017
- 4
- 0
Aje ya alikiba imebebwaaaa lakini ishapotea hamna kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiitoa moyo mashine apo tupo sawa. Yaani zinavyotukuzwa na kila mtu lakn mimi nimejitahd kuzisikiliza nimeshindwa. Nikahs labda nina chuki sijijui au sijui mzk mzuri wanavyosema waoHizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Kwa hiyo kama inashobokewa na wadada ni nzuri?sasa nyimbo zenyewe huzijui halafu unatuandikia utumbo hapa we vipi, Ngoma ya Joh makini imesimama vizuri tu labda kama ww ni mbana pua, nyimbo ya chege AY hazina tatizo pia hata ya Ray kijuso haina tatizo tena wadada wanaishobokea sana tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
Wazee wa jealous ko kuchwana kwa diamond una enjoy... [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ana enjoy life we fanya yako... Muache jealous...nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
Na wala hujaombwa uzipende labda kujipendekeza kwako tuu mpaka unafkia hatua ya kuziandika..... Kumbuka Yule unayempenda ww pia wapo wasio mpenda....Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Mary me ya diamond kila nikiskiliza sielewi kwa kweli ngoja nisubirie atoe nyingine
Wewe n team mond bila shakaUshazoea singeli marry me wap na wap
Wewe n team mond bila shaka
Acha ubishi,Mi ni Man u na Simba sports club hiyo team mondi sijui inacheza ligi gan
Acha ubishi,
Dovido ni msanii wa wapi mkuu.Naangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
Jamaa kakujibu in professional kabisa so umebaki kutapatapa kama umemeza ugali wa motoAcha ubishi,
Wimbo wa wiz aliibaWimbo mzuri baada ya ule wa Darasa ni PHONE wa Ben Paul
Nyimbo ya kuparty hyo babuWaya ..by joh makini...nyimbo mbovu saanaaa
Jamaa mziki umemshinda sema hatak kukaa kimya kuonekana kama hayupo....Yono sjui ndo nnNyimbo ya dully Sykes mbovu sana